Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani kijana mzima unakunywa chai ya rangi jioni tena mgahawani? My grany used to do so ever since I was a toddler,
Nyama choma + some sweet cold beer makes a lot of sense. Pole una maisha magumu sana.
Kwa standard za Wakenya wa humu huyo ndio wanamuona yuko njema
 
Ili jamaa uwa lijinga sana ww unapost unakukla chips,.. uku bongo izo chips ni chakula cha walala hoi na mademu na wale wasio na ela wht a mind unayo ww ubongo wa mende bwana shida tyu..
mbona mna complain sana leo, na ilhali juzi nikiwa kwangu, nikiwa nimejiandalia chakula cha mchana.. yani (beef+cabbage+ugali), sikuskia complain yoyote!
20221124_130840.jpg
Screenshot_20221128-232036_Photos.jpg


ama ata nikiwa nimeandaliwa supper (tilapia+sukumawiki+ugali) na bibi yangu nikiwa eldoret. pia sikuskia complain hata!..
Screenshot_20221128-232538_Gallery.jpg



iweje leo basi.. lawama mingi sana kwenye chai cha jioni tu! ndani ya 'Supermarket Eatery Section'.!? 🤷🏽‍♂️ aa?
20221128_192752.jpg


pia hapa nikiwa Starbucks [4☆star] hotel eldoret mli complain pia sana!
20220802_202017.jpg


tafadhali, naitaji jibu washika dau wangu.... 🤔
 
mbona mna complain sana leo, na ilhali juzi nikiwa kwangu, nikiwa nimejiandalia chakula cha mchana.. yani (beef+cabbage+ugali), sikuskia complain yoyote! View attachment 2430179View attachment 2430180

ama ata nikiwa nimeandaliwa supper (tilapia+sukumawiki+ugali) na bibi yangu nikiwa eldoret. pia sikuskia complain hata!..View attachment 2430195


iweje leo lawama mingi sana kwenye chai cha jioni tu, ndani ya 'Supermarket-Eatery Section' basi.!?? View attachment 2430187

pia hapa nikiwa Starbucks [4☆star] hotel eldoret mli complain pia sana!View attachment 2430201

tafadhali, naitaji jibu washika dau wangu....

Hakuna complain, vitu unavyokula vipo down sana.
Kiwango cha chini sana.
 
Kuna maosi wa 4 star Hotel hapo, bongo 3000Tsh kwa mama ntilie na unaonekana mzuri . Huo kama msosi photographer anaibia kula akiwa akipiga kazi kwenye tukio
that was my choice of food.... light food that is.. coz i had taken late lunch tht day, hence was kinda still satisfied..

nb:
at 4star hotel level here in kenyastan, the food is buffet or BBQ.!
as in, your our own choice, your on quality and your own quantity and what have u..

hakuna kupimiwa hewa at this level,.! yani, both supper and breakfast! 🥞🍔🍳🍝🍛🍜
 
Kuna maosi wa 4 star Hotel hapo, bongo 3000Tsh kwa mama ntilie na unaonekana mzuri . Huo kama msosi photographer anaibia kula akiwa akipiga kazi kwenye tukio

Waswahili wanasema kuna kula na kuna kujaza tumbo, mkunya anajaza tumbo.
Huwa nakula kwenye migawaha ya kawaida ambayo ni bora mara kumi ya hiyo 4* yake.
 
Land iko kwa wananchi na wananchi hawana uwezo wa kujenga majengo hayo ya kusave land...Good way to go ni kuzuia ujenzi holela tu, ili iwe rahisi uko badae kufanya maboresho...Mfumo wa kibepari Unahasara zake pia,Hauko perfect
Huo mfumo wa kibepari unaouzungumzia ni upi?

Kuna estate Germany inaitwa the Fuggerei, ilijengwa miaka 500 iliyopita Kwa lengo la ku-rent out spaces Kwa watu wasio na uwezo mkubwa wa kifedha. Mpaka leo rent kwenye hizi nyumba ni €.88 per year! (chini ya elfu mbili na Mia tano Kwa mwaka!)
Na condition ya daily prayer Maana hizi nyumba zilianzishwa na familia ya kitajiri ambayo ili-donate eneo kusaidia jamii miaka Mia tano iliyopita! Na mpaka leo hizi nyumba bado zinatoa msaada Kwa watu wenye low income.

The key here is urban planning, when done properly, doesn’t ignore the poor. Hii system ya sasa hata haijishughulishi kujenga low- income housing Kwa proportion ya kutosha. Nchi nyingi tu Afrika kama SA zina initiative ya kujenga makazi Kwa watu masikini.

The Fuggerei inabeba elements zote za aina ya neighborhood planning niliyo-propose hapo nyuma. Urbanist, low carbon footprint, community-oriented, and green!
250E4850-659D-4B03-9DB9-E1F2D502D34C.jpeg
85E6212B-BA61-4D36-A953-8B86C459A50E.jpeg
90560AA5-79DC-413C-BD52-17E38312EF28.jpeg

548A56CE-8983-4F2A-BAE1-1E1B0C1443E4.jpeg
CA05A02F-A8D9-4E2A-8853-F9D42DFE79FE.jpeg
F15E80B2-F8C0-4E4D-9D14-0209A7B26FF1.jpeg

Check out this article by DW on the estate: Germany's Fuggerei is world's oldest social housing project – DW – 05/06/2022
 
today am having an architectural task till morning..
hence my supper also had to come abit late..
u are all more than welkom once again to join me demolish this staff on my table....

nb:
on average, we kenyans eat better than average tanganyikans...
our food infact is more balanced.. as in, average kenyans eat a more balanced diet than what average tanganyikans would..

welcome join me my sweetheart 😘 tanganyikans..
20221129_011515.jpg
20221129_011459.jpg
20221129_012249.jpg
 
today i have an architectural task till morning.. hence my supper also had to come late.. u are all more than welkom once again to join me demolish this....

nb:
on average, we kenyans eat better than average tanganyikans... our food infact is more balanced.! as in, average kenyans eat a balanced diet than what average tanganyikans do..

welcome join me my sweetheart 😘 tanganyikans..View attachment 2430257View attachment 2430258
Ila mzee unafurahisha wewe 😂😂 mtanzania wa kawaida anakula vizur more than this, ngoja nikuonyeshe.. binafsi wala sina maisha ya watanzania wa kipato cha kawaida, kipato changu mimi ni cha chini tu . Lakini kula yangu mzee 2k tz sh👇mama ntilie tu
IMG_20221029_122707_190.jpg
..
IMG_20220728_214818_492.jpg
hata nikipikaga mwenyewe magetoni still natoa unyama kama huu 👇
IMG_20210727_232843_928.jpg
IMG_20210726_225632_797.jpg
IMG_20210531_233457_381.jpg
.. haya ni maisha yangu mimi muuni tu wa magetoni, sasa kama wewe unajisifia maisha mazuri 🤣🤣 halaf ni engineer sijui 🤣🤣. Basi uko kwenu msosi ni anasa ..
 
Ila mzee unafurahisha wewe 😂😂 mtanzania wa kawaida anakula vizur more than this, ngoja nikuonyeshe.. binafsi wala sina maisha ya watanzania wa kipato cha kawaida, kipato changu mimi ni cha chini tu . Lakini kula yangu mzee 2k tz sh👇mama ntilie tuView attachment 2430260.. View attachment 2430261hata nikipikaga mwenyewe magotoni still natoa unyama kama huu 👇View attachment 2430262View attachment 2430263View attachment 2430264.. haya ni maisha yangu mimi muuni tu wa magotoni, sasa kama wewe unajisifia maisha mazuri 🤣🤣 halaf ni engineer sijui 🤣🤣. Basi uko kwenu msosi ni anasa ..
lakini hio soda ina fanya nn hapo pia na wewe....!😠
ni hapo tu ndo umeniudhi kwenye haya mamkuli yote...... eeh!. hio soda hio!
 
Back
Top Bottom