The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Wenye wanakimbia nchi wanajulikana😂😂😂Mna maisha magumu Sana nyie watu si ajabu mnakimbia Nchi yenu 👇
The lake is the gateway to the major source of Tanzania's cross-border business between us and DRCUnyama sana, but honestly what are we doing with this lake ?
😂😂😂😂😂😂Hatuezifanana juu tumewashinda 10 times. You tried to copy the Mariakani station lakini your final product inafanana na Muthurwa market😂😂
Mariakani
View attachment 2428458View attachment 2428459
Morogoro Copycat.
View attachment 2428463
The lake is the gateway to the major source of Tanzania's cross-border business between us and DRC View attachment 2428499
worldcup itanoga aje kwenye maskani ukiwa solo.. wife mwenyewe ako zake far eldy na uko!..Umeenda angalia mpira bar unawapangia na commentator language. Kama vile upewe lift kwenye gari halafu unaanza piga honi
Sent using Jamii Forums mobile app
worldcup itanoga aje kwenye maskani solo.. wife mwenyewe ako zake far eldy na uko!..
so itakuaje msela wangu... ata kaa ni ww unge do?
heri ni watch kwenye bar pamoja na mbogi genje...
ila mitungu nilishawacha since mwaka jana, lakini bora niko soughted na jaba(gomba) yangu surba angalau tatu hivi (yani nusu kilo) na delmonte apple na waba 1.5lt...
mie hapo sina shida... yani niko rieng vinoma mshika dau
Kwamba nyie wanuka mavi ndiyo waanzilishi wa expressway duniani au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Always copying Kenya. Before Nairobi expressway ijengwe hamkuwa mnsongelea expressway. Now that we have already built one, you want to copy us as well.
Etieeeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama mtajenga hiyo kibaha morogor itakua the first proper speedway ndani ya Tanzania.
Kwa saa hii hamna barabara kabisa za kuendeshea gari ndani ya hiyo nchi yenu
Sio tu kwamba haina AC kwasabu madirisha yanafunguliwa bali pia hata muonekano wake hauruhusu kuwepo AC.Kwa hivo hilo gari unalotembelea halina AC kisa madirisha yanafunguliwa ama hii ni ushahidi kwamba huna gari?
Kama hii hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Expressway ambayo haitoi foleni mjini katikati si ni useless sana, Dar planning ya Barabara mko chini sana. Hamna space ndani ya jiji ni uswazi hadi cbd
Pia mwambie huku kwetu kila mkoa zipo.Kumbe ndio DAWASA ya Nairobi hiyo?
Peer wake wa Dar huyu hapa!
View attachment 2428285View attachment 2428286View attachment 2428287
Zinakuja hizo, behewa zake hizi hapa [emoji116][emoji116]Kuna wakati walisema wanaleta bi-level high speed train. Walai si tumetishwa humu. [emoji1787] [emoji1787]
![]()