Hapo bado makontena ya kupewa toka Qatar hayajafika. This country is a sore in an otherwise beautiful EA.Njaa & Madeni Republic![]()
Hapo bado makontena ya kupewa toka Qatar hayajafika. This country is a sore in an otherwise beautiful EA.Njaa & Madeni Republic![]()
Ili mradi huu uwe na maana lazima Serikali iwakopeshe Pesa DRC wapanue Bandari Yao ya Kalemie,wajenge reli na Barabara kutoka hapo Kalemie hadi Lubumbashi..Tumeshamaliza ku expand hizo port za lake Tanganyika. Kigoma port na ile ya kule katavi sasa wiki hii tumesaini mkataba na kampuni ya china ku upgrade MGR toka kaliua mpaka mpanda kazi itahusisha kutengeneza tuta upya, kungoa na kutandika reli mpya yenye pound 80 yote continuous welded rail na speed ya train ya mizigo kwenye hii reli itakuwa equivalent na Kenyan pasengers train speed.
tena wananchi ndo wanaitaka kila mtu anataka apande nyumbani kwakeNadhani ndio mpango uliopo sasa maana hata waziri wetu alikuwa DRC hivi majuzi tuu kukagua miundombinu ya huko inayo complement bandari zetu.Ili mradi huu uwe na maana lazima Serikali iwakopeshe Pesa DRC wapanue Bandari Yao ya Kalemie,wajenge reli na Barabara kutoka hapo Kalemie hadi Lubumbashi..
Vinginevyo itakuwa mapambo tuu Kama zilivyi Bandari zingine 3 zilizokamilika ila Zina underperform tuu..
Sawa bradhee 🤣 🤣 🤣These ones will be delivered in March 2023. Mbona you guys are so quick to conclude as if that’s all.. hiyo imeingia ni kama 5% of what is coming.
Based on you people's logic they won't have AC because I can see the windows are openable. 🤣 🤣
Kumbe Masha akili yako ni ndogo namna hii?Kibaha ni very remote with no significant GDP, hakuna MTU wa kulipa expressway huko![]()
Hapo Bro Inabidi Meli za kutosha ziwepo ili mizigo iwe inaenda Congo , Zambia , Burundi
Chuga kumetulia sana,waendelee kuotesha tu mijumba10 floors building in ARUSHA.
Wakenya wanaexcuse gani hapa...
Unafikiri kuna meli moja tu lake Tanganyika?
Pesa zilishatolewa Meli ipo kwenye ukarabati mkubwa!
Nyi endeleeni kucopy Kenya, heri hiyo expressway ingetoka airport hadi cbd towards bagamoyo road, could have made economic sense na ingepata clients ...msishindane na ndovu kunya, naona sgr tushawaeka chini mkijaribu kutucopyKumbe Masha akili yako ni ndogo namna hii?
Magari yanayotoka Dar yanatumia njia iyo ito kuelekea Moro na mikoa mingine kwahyo haohao ndio watalipia toll