Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority(AUWSA) HQ

Where's of Nairobi? 😆

View attachment 2428008View attachment 2428009View attachment 2428010View attachment 2428011
Hizi ni vitu tulijenga kitambo sana. Again why are you so proud of that ugly building?

Athi Water Works Headquarters.
FTMs8d3WAAArOWO.jpeg
images (7) (4).jpeg
 
But haitakua elevated ...Kenya kuna nairobi-mombasa expressway 525km na limuru-mau summit 250km under construction
Sasa kuanzia kibaha kwenda Moro ni nje ya jiji kabisa unategemea iwe elevated wap? Na hakuna sehemu itavuka mto mkubwa sanassna litajengwa daraja tu pale Ruvu...
Wamesema kkla junction itakua na interchange kwahyo tutegemee interchange zakutosha tu
 
Natamani barabara zetu mpya ziwe expressways tu, mfano ile ya mbeya mpaka Tunduma, na hii ya Arusha moshi na zote mpya zitakazofuata ambazo ziko sehemu zenye magari mengi
 
Unalinganisha AUWSA inayohudumia Arusha pekee na agency inayohudumia Kenya nzima though still look like a street agency 😅😅
Athi Water Works ni agency ya Nairobi pekee. Ya Kisumu ni KiWASCO na ndio hii hapa chini. Najua hiyo ya Arusha ndio ya kwanza Tanzania 😂😂😂

1669478248538.png
 
Natamani barabara zetu mpya ziwe expressways tu, mfano ile ya mbeya mpaka Tunduma, na hii ya Arusha moshi na zote mpya zitakazofuata ambazo ziko sehemu zenye magari mengi
Unaelewa nn maana ya expressway? Au mpaka uwekewe toll ndo unaita barabara expressway?
 
Always copying Kenya. Before Nairobi expressway ijengwe hamkuwa mnsongelea expressway. Now that we have already built one, you want to copy us as well.
 
Sasa kuanzia kibaha kwenda Moro ni nje ya jiji kabisa unategemea iwe elevated wap? Na hakuna sehemu itavuka mto mkubwa sanassna litajengwa daraja tu pale Ruvu...
Wamesema kkla junction itakua na interchange kwahyo tutegemee interchange zakutosha tu
Kama mtajenga hiyo kibaha morogor itakua the first proper speedway ndani ya Tanzania.
Kwa saa hii hamna barabara kabisa za kuendeshea gari ndani ya hiyo nchi yenu
 
Unaelewa nn maana ya expressway? Au mpaka uwekewe toll ndo unaita barabara expressway?
Kiujumla flow ya magari haitakiwi kuwa na vizuizi kama traffic lights nk, ndio maana zinakuwa na interchanges na underpass na overpass, speed limit inakuwa kubwa vilevile, iwe na lanes zisizopungua mbili kila direction.
Kulingana na speed itakayokuwa Inatumika hata kona na miinuko inadesigniwa katika hali ambayo haiathiri speed.
Hebu nipe ya kwako labda mimi sijui
 
Back
Top Bottom