Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunajua car to people ratio yenu iko chini sana, sikila mkenya anaweza miliki gari n virse versa
Nalipa taxes sawa na huyo mwenyewe hana gari, I deserve only the best sifai kukaa kwa jam nikihurumia MTU mwenyewe hana gari. That's none of my business.
 
BRT ni akili za kimaskini sana, most people prefer to drive sio kupanda mabasi ambayo hayana starehe. Heri that expressway ingeanza cbd ndio ipate demand ya magari, sasa kibaha jangwani gari zitatoka wapi?
Miji mikubwa yote inajenga infrastructure za mass transportation. Tena wana discourage kila mtu kutoka na gari lake. Wanaweka hadi parking fee kubwa hila kuongoa congestion

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😅😅😅 Makasiriko
Unafikiri tunafanana?
Hatuezifanana juu tumewashinda 10 times. You tried to copy the Mariakani station lakini your final product inafanana na Muthurwa market😂😂

Mariakani
1669488868907.jpg
1669488872862.jpg


Morogoro Copycat.
images (7) (7).jpeg
 
Back
Top Bottom