Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_0231.jpg

Kisumu international Stadium
 
Subiri tuliza pressure hatufanyi vitu kwa kubahatisha sisi.
Mnabahatisha and that's why you been waiting your SGR operation since November 2019. Yani hata serikali yenu haijui reli yenu imefika % ngapi na iraisha lini pia😂😂😂
 
Who told you it's beyond our means? For your information Kenya ijaisahindwa kulipa deni hadi tukadamehewa kama Tanzania
Mikopo mliyonayo ni over 100% ya GDP wakati threshold haikutakiwa kufika 50% ya GDP. You guys are living beyond your capacity no wonder you seek loan to shore up your forex reserves
 
Mnabahatisha and that's why you been waiting your SGR operation since November 2019. Yani hata serikali yenu haijui reli yenu imefika % ngapi na iraisha lini pia😂😂😂
Ila we kondoo mnuka Mavi kwa uongo.. kwahyo SGR tuanze kujenga 2017 katika Alaf tusubiri operation 2019 😂😂😂
 
Unaongea as if you have dozens of expressway in Kenya embu uache Ujinga kijana
Umeanza kuhedhi?
We may not have expressways everywhere, but Kenya tuna freeways mahali zinafaa kua in all 4cities unlike nyinyi with misplaced priorities.
Acheni kufukazana na Kenya, huwezi shindana na ndovu kunya
 
Mkuu umetoka kulala au? BRT ni kwa ajili ya kusafrisha watu kwa haraka na hili limetimia sana DSM.Now inachukua 30 minutes from Kimara to City Centre zamani tulitumia masaa Hadi matatu.BRT imepunguza idadi ya magari binafsi mengi.Fikiria upya
Mi naendesha gari langu brt inanisaidia nini?
 
Umeanza kuhedhi?
We may not have expressways everywhere, but Kenya tuna freeways mahali zinafaa kua in all 4cities unlike nyinyi with misplaced priorities.
Acheni kufukazana na Kenya, huwezi shindana na ndovu kunya
Ukihedhi wewe inatosha sana
 
hii ni gani tena.!!
i've never seen this in my entire life...
eti worldcup commentators leo kwa Dstv's SuperSport ni Wabongo na kiswahili chao kiiingi...!!

me never watched worldcup commentated in kiswahili in my entire life..

hii ni gani tena...

wabongo wabaki na kiswahili chao kwa mchezo highprofile kaa hii...

sisi tubaki na english yetu kwa mchezo wa hizi hadhi, venye imekuaga tangu kitambo..

hii misielewi View attachment 2428332
Umeenda angalia mpira bar unawapangia na commentator language. Kama vile upewe lift kwenye gari halafu unaanza piga honi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom