Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kweli, hakuna uchumi bila mikopo, mikopo inaweza kuleta mapinduzi makubwa kiuchumi ikitumika ipasavyo na ikiwa kwenye mikono na akili salama, mfano mzuri ni deni la Kenya versus vitu kwa ground na deni la Tanzania versus vitu kwa ground!
But Kenya ikikopa ni mbaya. Hamjielewi nyinyi😂😂😂

Nchi inayoendeshwa kwa mikopo na misaada 🙂
 
hii ni gani tena.!!😠
i've never seen this in my entire life...
eti worldcup commentators leo kwa Dstv's SuperSport ni Wabongo na kiswahili chao kiiingi...!!🤔

me never watched worldcup commentated in kiswahili in my entire life..

hii ni gani tena...

wabongo wabaki na kiswahili chao kwa mchezo highprofile kaa hii...

sisi tubaki na english yetu kwa mchezo wa hizi hadhi, venye imekuaga tangu kitambo..

hii misielewi
20221126_192930.jpg
 
Natamani barabara zetu mpya ziwe expressways tu, mfano ile ya mbeya mpaka Tunduma, na hii ya Arusha moshi na zote mpya zitakazofuata ambazo ziko sehemu zenye magari mengi
Inatamanisha ndio ila sioni kama inawezekana kwasasa..icho kipande cga Mbeya tunduma wakitanue njia nne nadhani itasaidia sana...wangechapa na flyovers sehemu zinazohitajika kuepuka jam
 
Always copying Kenya. Before Nairobi expressway ijengwe hamkuwa mnsongelea expressway. Now that we have already built one, you want to copy us as well.
Sio kukopi, uchumi unakua na demand inakuepo, mbona Burundi wasiwakopi basi?
 
Kama mtajenga hiyo kibaha morogor itakua the first proper speedway ndani ya Tanzania.
Kwa saa hii hamna barabara kabisa za kuendeshea gari ndani ya hiyo nchi yenu
Unaongea vitu gani?Barabara zipo, ni majina tu yanabadilika
 
Expressway ambayo haitoi foleni mjini katikati si ni useless sana, Dar planning ya Barabara mko chini sana. Hamna space ndani ya jiji ni uswazi hadi cbd
Mjini tumeopt BRT, flyovers kwa kuanzia, jama ikiendelea kua notorious zitajengwa...tunaenda na mahitaji
 
What's amazing now is how these morons have been brought back to reality. Their discussion has now shifted from talking about trains like these to now train windows and AC

View attachment 2428288
Hatunahela za kujenga infra za bullet trains kijana...Iyo SGR inacapacity ya 160kmhr ambayo sio fast train katika ulimwengu wa fast trains...Sasa Sijui kwann unapata Homa na v2 vyepesi kama Hivyo
 
The longest SGR train in the region. What this train does in one trip will require Tanzanian trains to do three trips to match.

images (7) (5).jpeg
images (7) (6).jpeg
 
Hatunahela za kujenga infra za bullet trains kijana...Iyo SGR inacapacity ya 160kmhr ambayo sio fast train katika ulimwengu wa fast trains...Sasa Sijui kwann unapata Homa na v2 vyepesi kama Hivyo
Naona mshaanza kushikwa na adabu. Let me remind you what you said in 2020😂😂😂

Screenshot_20221126-202352.png
 
Kwa morogoro road yes mana imelemewa sana kwasasa...gari zaidi ya 65K kwa siku sio haba
Kama imelemewa you can just expand the road to increase capacity. But my question was, do you have expressway demand in Tanzania? Ama juu Kenya imejenga hata nyinyi pia mnataka kujenga?😂😂😂
 
Iwe longest ama shortest Sio jambo,Sgr mainly ni kwaajili ya mizigo
Where are those cargo that your SGR is going to carry? 90% of all cargo passing through your port start and end at Dar is slum.
 
These ones will be delivered in March 2023. Mbona you guys are so quick to conclude as if that’s all.. hiyo imeingia ni kama 5% of what is coming.
Tena sio November 2021?😂😂😂 Na kama zitakuwa delivered in March 2023 then it means either zishaanza kutengenezwa ama zinaelekea kuisha. Show us their pictures vile the current ones zilianza kuonyesha last year😂😂
 
Back
Top Bottom