Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Peace must in DRC by fire by force.

16496012_vlcsnaperror150_jpegc53e175beee15c26cf23403ecaf955b8.jpeg
16496060_vlcsnaperror240_jpegc8b2533fee55a6d15d544a49b921d075.jpeg
16496064_vlcsnaperror952_jpeg052e19c644d469ceca5da99884bdeae7.jpeg
 
Mjini tumeopt BRT, flyovers kwa kuanzia, jama ikiendelea kua notorious zitajengwa...tunaenda na mahitaji
BRT ni akili za kimaskini sana, most people prefer to drive sio kupanda mabasi ambayo hayana starehe. Heri that expressway ingeanza cbd ndio ipate demand ya magari, sasa kibaha jangwani gari zitatoka wapi?
 
Unaongea vitu gani?Barabara zipo, ni majina tu yanabadilika
Your best road ina brt katikati, zebra crossings, traffic lights, level crossing junctions yani ukiendesha gari lako inabidi unasimama simama kila wakati dereva anakanyanga brake, hii inaongeza wear and tear kwa gari. Kupoteza mda ukisimamisha gari kwa barabara pia inafanya uchumi wa Tanzania uwe slow
 
Kama imelemewa you can just expand the road to increase capacity. But my question was, do you have expressway demand in Tanzania? Ama juu Kenya imejenga hata nyinyi pia mnataka kujenga?
Nmekwambia kwa Morogoro road jibu ni Yes, barabara imeshatanuliwa kutoka nje ya jiji ila uko nje ya jiji hali ni tete especially ilitokea ajali...kwahyo ni sahihi Huo mradi kufanyika
 
Where are those cargo that your SGR is going to carry? 90% of all cargo passing through your port start and end at Dar is slum.
Unaharaka gani?unafikiri sgr imejengwa ili kubeba abiria tu au
 
BRT ni akili za kimaskini sana, most people prefer to drive sio kupanda mabasi ambayo hayana starehe. Heri that expressway ingeanza cbd ndio ipate demand ya magari, sasa kibaha jangwani gari zitatoka wapi?
Kibaha ni jangwani tangu lini?Acha masihara kijana
 
BRT ni akili za kimaskini sana, most people prefer to drive sio kupanda mabasi ambayo hayana starehe. Heri that expressway ingeanza cbd ndio ipate demand ya magari, sasa kibaha jangwani gari zitatoka wapi?
Mkuu umetoka kulala au? BRT ni kwa ajili ya kusafrisha watu kwa haraka na hili limetimia sana DSM.Now inachukua 30 minutes from Kimara to City Centre zamani tulitumia masaa Hadi matatu.BRT imepunguza idadi ya magari binafsi mengi.Fikiria upya
 
Your best road ina brt katikati, zebra crossings, traffic lights, level crossing junctions yani ukiendesha gari lako inabidi unasimama simama kila wakati dereva anakanyanga brake, hii inaongeza wear and tear kwa gari. Kupoteza mda ukisimamisha gari kwa barabara pia inafanya uchumi wa Tanzania uwe slow
Unaongea as if you have dozens of expressway in Kenya embu uache Ujinga kijana
 
Hatukatai kukopa ila It is not prudent kukopa beyond your means kama ambavyo Kenya wanafanya.
Who told you it's beyond our means? For your information Kenya ijaisahindwa kulipa deni hadi tukadamehewa kama Tanzania 😂😂
 
Back
Top Bottom