Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania saivi tunatakiwa tusijiwekeze sana kwenye mambo ya ukombozi wa nchi nyingine kama ilivyokua kawaida yetu, na Kenya imetuma jeshi DRC lakini on the other hand Tanzania juzi kati imesaini mkataba wa dollar billion 1 na DRC kuhusu ujenzi wa SGR, ports lake Tanganyika, meli kubwa ya kubeba containers na barabara, hiki ndio kiwe focus yetu

Wenye ushamba wa kupigania nchi za watu tuwaache watutengenezee amani DRC sisi tufanyaje biashara zetu kwa utulivu

Biashara gani mko mayo DRC? KDF are in DRC to guard our interest. Kenyan banks are the best banks in DRC, Kenya insurance companies dominate DRC, Kenyan factories are everywhere in DRC. Nyinyi kazi yenu ni kiongea ongea tu.
 
What's the need of buying a 62 sitter bus when year after year you only carry 10 passengers? You should buy a pikipiki instead.
Sisi ni matajiri na kwa mipango tuliyojiwekea hiyo capacity tunaifunika mapema tuu. Hatufanyi vitu kwa kukurupuka tunaenda stage kwa stage ndio maana tulianza na airport tukaja kwenye ndege sasa tuko kwenye the royal tour then uchumi wa blue while anticipating oil and gas economy from 2025. Kupanga ni kuchagua mazee.
 
Biashara gani mko mayo DRC? KDF are in DRC to guard our interest. Kenyan banks are the best banks in DRC, Kenya insurance companies dominate DRC, Kenyan factories are everywhere in DRC. Nyinyi kazi yenu ni kiongea ongea tu.
Unaweza kunionesha trade volumes between the two of you?
 
Kawaida sana yani..

Izo locos za Tanzania ni daraja la tatu, zinakuja kwa awamu, zitakapokuja daraja la pili na la kwanza tutacompare zaidi
Acha kuchanganya Locos na carriages ni vitu viwili tofauti.
 
Biashara gani mko mayo DRC? KDF are in DRC to guard our interest. Kenyan banks are the best banks in DRC, Kenya insurance companies dominate DRC, Kenyan factories are everywhere in DRC. Nyinyi kazi yenu ni kiongea ongea tu.
Mpaka wa Tanzania na DRC una trade volume kubwa kuliko the rest of Tanzania Kenya cross border trading entries

Yaani tunauza zaidi kwenye mpaka mmoja tu wa DRC through lake Tanganyika kuliko tunavyouza Kenya through our 4major boarder entries bila kuhusisha Tunduma ambao ndio mpaka mkubwa wa Tanzania-DRC business border!

Screenshot_20221125-144519.png
 
Are you aware that your SGR was designed to only transport a maximum of 1.1M passengers in a year? That's a third of what our SGR is doing.
1. Reli ya axle load 35T against 25T
2. Cargo speed 120kph against 80kph
3. Train length of 2km against 1km
5. Siding rail 50% against 25%

Hata chizi atakuambia reli gani itabeba mzigo mwingi na abiria wengi zaidi.
 
Gross Domestic Product is all about the trade balances between export and import, angalia how these statistics are screaming bitter truth how Kenya's GDP is fake 😅😅😅

Mtu anajiita mwenye GDP kubwa huku akiwa na trade deficit ya dollars billions 13 😂😂😂😂

Gross Domestic Product is all about the trade balances between export and import, angalia how these statistics are screaming bitter truth how Kenya's GDP is fake [emoji28][emoji28][emoji28]

Mtu anajiita mwenye GDP kubwa huku akiwa na trade deficit ya dollars billions 13 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hao ni matajiri wa karatasi tuu mkuu.
 
Back
Top Bottom