Aliamka na kiwingu huyo kama sio K-VantSwali lako liko wapi hapo.

Aliamka na kiwingu huyo kama sio K-VantSwali lako liko wapi hapo.

Wewe bongolala hupendi kukosolewa. Ubishi mithili ya mama mjamzito. Kama aliyosema ni uwongo tuonyeshe airports mbili zilizopo DarKama una kazi za kufanya unasubiri nini sasa humu si usubiri ukiwa huna kazi.
Kwaakili yako finyu unafikiri ikiwa electrified ndio itaenda 220km/hr. Kama hujui kaa kimya tuu kufika hiyo speed reli yenu inabidi ifumuliwe yote ijengwe upya speed capacity iko kwenye reli na sio train.We got a better deal for sure. Na SGR ya Kenya bado haijakua electrified train zianze kupiga 220km/hr
Msaada huumbua sana embu angalia hizo obsolete troop carrier zilivyoisha tyresDRC here we come. More armoured vehicles arrived at Mombasa port yesterday.
View attachment 2426208View attachment 2426209View attachment 2426210



Kama hujui ndio ujue sasa kwa taarifa yako zipo rail expressway.Hiyo ni kama kusema engine zote za gari lazima ziwe mbele. Anyway, I'm talking to someone who things an elevated rail line is an expressway. Let me focus on people who have at least stepped in a classroom.![]()
Complete ring road itakaaje Dar wakati mji uko pembeni ya bahari? Labda ulitaka ring road ipite baharini pia.Kawawa road sio ring road kaka, ukitasfiri tu neno "ring", ni huzuni ila inabidi tu tuseme ukweli Dar es Salaam hatuna a complete ring road.
Complete ring road itakaaje Dar wakati mji uko pembeni ya bahari? Labda ulitaka ring road ipite baharini pia.
Mandela road starts from east mpaka south west ya mji then Sam Nujoma starts ftom south west mpaka East ya mji. Hii ni inner ring road kwaa taarifa tuu.
Na ukitaka kwnd deep zaidi katafute andiko la JICA wameeleza umuhimu wa hizo barabara kinagaubagaView attachment 2426473
Rejea mchoro wa JICA wameandia kabisa inner na outer ring roads za Dar
View attachment 2426473
Kenyan sgr is Chinese class 1 rail, hiyo sgr AREMA standard uchwara Tanzania haifikii sgr ya Kenya buda.Kwaakili yako finyu unafikiri ikiwa electrified ndio itaenda 220km/hr. Kama hujui kaa kimya tuu kufika hiyo speed reli yenu inabidi ifumuliwe yote ijengwe upya speed capacity iko kwenye reli na sio train.
Tumepigwa lakini sio kama TanzaniaNyang’au wenzako wenye akili timamu wanakubali kuwa sgr ya Kenya mmepigwa na mchina. Sasa wewe sijui unataka kumdanganya nani.

tayari sgr ya Kenya ishabeba 9m passengers wakati Tanzania ni hadithi tuNaona unajipa matumaini maskini 🤣🤣After seeing the refurbished coaches Tanzania has got. I can now proudly say that Kenya got a better deal.
View attachment 2426153
Tanzania sgr design can accommodate train speep of up to 205 kph without design changes you just buy high speed trains while yours only 120kphKenyan sgr is Chinese class 1 rail, hiyo sgr AREMA standard uchwara Tanzania haifikii sgr ya Kenya buda.
Just look at the size of pillars, gradient, and curvature of Kenya sgr and compare na huo ujinga wenu huko south. Nyinyi ndio SGR iko capped at 160km/hr maana mshafanya electrification
View attachment 2426549
Kupigwa ni kupigwa tu hata ujifarague vipi.Tumepigwa lakini sio kama Tanzaniatayari sgr ya Kenya ishabeba 9m passengers wakati Tanzania ni hadithi tuView attachment 2426551
Na haifiki 120 ikienda sana ni 90 na full vibration🤣🤣🤣Tanzania sgr design can accommodate trains moving up to 205 kph while yours only 120kph