Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona leo umeamua kutema nyongo mkuu
Acha tu mkuu yaani nimejikuta nimebwatuka, mtu anataka kutugawa kwa ukanda na ukabila wakati Tanzania hatuna hizo mambo. Maendeleo yapelekwe kwenye uhitaji ila siyo eti kwa kuwa fulani namchukia basi huko hakutakiwi kupelekwa mradi wowote wenye tija.

Mara akina ngosha, sijui nshomile wanajifanya wamesoma....vitu visivyo vya msingi ndio anavipa kipaumbele.
 
I doubt kama hiyo ndio render unajuwa wa tz kwenye kuhabarisha umma wako nyuma kidogo hawaoni umuhimu wake ndio maana mwisho wa siku design mbovu hupitishwa. Hiyo barabara ni elevated road from fire mpaka magomeni the existing road bado itakuwepo na uhalisia wake hauendani na render
 
Sasa kama katiba mpya ikiwepo halafu haileti mabadiliko ina maana gani hapo mkuu?

Wizi ule ule, upigaji ule ule,ufisadi kama kawaida,kuvunja sheria na kuisigina katiba inabaki pale pale, sasa jiulize hapa inakuwa imesaidia nini?
Things huenda kwa hatua kwanza sheria mama ambayo ni katiba ya kueleweka iwepo huo ndio msingi mkuu mengine ya kimaadili, tabia na hulka yanajengwa juu yake. Hautaweza kurekebisha jamii iwe bora kama msingi ni mbovu na hausapoti hayo mabadiliko katika jamii.
 
Hili suala la katiba mpya tuliangalie katika angles zote. Kuwa na katiba mpya kama kitabu ni tofauti na kuwa na katiba mpya yenye maandishi au kitabu kinachofanya kazi. Tatizo la Afrika hatujafikia kwenye ustaarabu wa kufuata sheria kama jinsi ilivyotungwa, bado watu hawajawa na utashi wa kuacha mifumo ijiongoze yenyewe.

Tukiwa na katiba mpya halafu ikafanya kazi sawa sawa mimi sina shida wala shaka hapo. Viongozi wetu kuna mahali hawafanyi sawa sawa na matakwa ya sheria, kanuni na miongozo ya katiba. Sasa katiba mpya itasaidiaje kama jamii nzima haitaki kubadilika?
Isiwe sababu ya kuachilia mambo yaende kama yalivyo at least we need to start somewhere and the right place ni sheria mama kwanza mengineyo yatafuata taratibu hii nchi haiitaji kumwaga damu kupata mabadiliko.
 
Tanroads said official render is expected to be completed on December.
Design mpaka December

Screenshot_20221122-194413_Opera.jpg
 
Isiwe sababu ya kuachilia mambo yaende kama yalivyo at least we need to start somewhere and the right place ni sheria mama kwanza mengineyo yatafuata taratibu hii nchi haiitaji kumwaga damu kupata mabadiliko.
Hii ndio concept yangu tuanzie kwenye misingi kama ilivyokuwa mwanzo. Kuna mahali tayari tumeshapotoka japo hatujachelewa sana tunaweza kurekebisha na mambo yakaenda vizuri.
 
Back
Top Bottom