Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

They are really not so different from Kenya’s SGR carriages. The color coordination is ugly. They should’ve at least painted them in yellow.
We kila kitu humu 'but this, but that'.. na viingereza uchwara vingiii.. kwanza huchoki? Unataka kuonekana wa tofauti sanaaa? Au uonekane uko na exposure sana? 😅 vitu vingine vya 'utanzania' chuna na suggestion nyingine hazina maana.. mf what is the point of them being painted in yellow? To signify what?
Asee..anyway, uko free
 
We kila kitu humu 'but this, but that'.. na viingereza uchwara vingiii.. kwanza huchoki? Unataka kuonekana wa tofauti sanaaa? Au uonekane uko na exposure sana? 😅 vitu vingine vya 'utanzania' chuna
Asee..anyway, uko free
“BUT” Ndio kitu kinachohitajika kuleta mabadiliko especially kwenye maswala yanayofanywa na serikali isoyopenda alternate opinions. Difference is good. Wote tukikubaliana hatutaenda popote.

Hujaniambia “But this” na “But that” zangu zina matatizo gani. Unasema kuwa nisiziseme kabisa. Kwa hiyo Wewe tatizo lako ni kuona mtu kwenye mawazo tofauti na yako akitumia hii platform, clearly hujui hata hii Jamii Forums ina objective gani.
 
Things huenda kwa hatua kwanza sheria mama ambayo ni katiba ya kueleweka iwepo huo ndio msingi mkuu mengine ya kimaadili, tabia na hulka yanajengwa juu yake. Hautaweza kurekebisha jamii iwe bora kama msingi ni mbovu na hausapoti hayo mabadiliko katika jamii.
Mkuu, wewe na Nyerere nani zaidi katika Mambo ya siasa?, Hii katiba ingekuwa ni mbaya Sana, Nyerere angeifanyia mabadiliko ili iweze kuendana na maisha ya Sasa, Nyerere aliipenda Sana Tanzania na watanzania kuliko mtu yeyote yule.

Mkuu, tunakuomba utumie Kenya Kama mfano ulio hai, baada ya kupata katiba mpya 2010, kipi ambacho kimebadilika "positively" kuhusu maisha ya wakenya?, Mbona hali ndio inazidi kuwa mbaya zaidi?.

Mkuu, katiba ni wimbo wa wanasiasa ili kujitengenezea mazingira mazuri kwao kufanya siasa zao "comfortably', wengi tunakubali kucheza mziki wao, Mambo yanayopigiwa kelele Kama vile tume huru ya uchaguzi, rais kupunguziwa madaraka, mawaziri majaji kutochaguliwa na rais, yote haya zaidi yanawaumiza Sana wanasiasa kuliko raia wa kawaida. Kwa Sasa sio kipaumbele, wacha kwanza tukamilishe SGR na miradi ya maendeleo. Kenya hapo hakuna lolote walilopata zaidi ya kuongezeka kwa njaa, rushwa serikalini na wizi wa Mali ya umma

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
“BUT” Ndio kitu kinachohitajika kuleta mabadiliko especially kwenye maswala yanayofanywa na serikali isoyopenda alternate opinions. Na Hata hivyo sijaku-quote wewe, Kwa hiyo sioni sababu ya kutafuta maneno na mimi.
Kila mtu (kwa watanzania) yuko huru kumquote mwenzake na kumkosoa, kama hutaki uko huru kumblock kama nilivyoblock bwana Kivvelu😄.. watanzania ni kawaida yetu kuhojiana sio kama wakenya mtu anajua anasema uongo wenzake wanamkalia kimya.. im just trying understand why kila siku in kila kitu 'but this but that' ? Jack of all trade? Im just curious on that
Screenshot_20221122-234403_Chrome.jpg
Screenshot_20221122-234430_Chrome.jpg
 
Kila mtu (kwa watanzania) yuko huru kumquote mwenzake na kumkosoa, kama hutaki uko huru kumblock kama nilivyoblock bwana Kivvelu😄.. watanzania ni kawaida yetu kuhojiana sio kama wakenya mtu anajua anasema uongo wenzake wanamkalia kimya.. im just trying understand why kila siku in kila kitu 'but this but that' ? Jack of all trade? Im just curious on that
View attachment 2424554View attachment 2424557
Nime-update my reply. Go back and re-read it.

Kila reply ninayoandika Ina context. I’m not a hater. Siko hapa kusifia mazuri either. Ninakosoa mabaya. Why would I waste my time to glorify the good if I can criticize the bad so it can also turn into something good? Kama Wewe kazi yako ni kusifu, sifu. But that’s not me.
 
Nime-update my reply. Go back and re-read it.

Wewe huna tatizo na replies zangu za kukosoa. Na kila reply ninayoandika Ina context. I’m not a hater. Siko hapa kusifia mazuri either. Ninakosoa mabaya. Why would I waste my time to glorify the good if I can criticize the bad so it can also turn into something good? Kama Wewe kazi yako ni kusifu, sifu. But that’s not me.
Im one of biggest haters wa sa100 na serikal ya sasa ilivyo dhaifu na kwa position niliyonayo naifanya iwe dhaifu zaid😆
Ok. Tuendelee na hoja nyingine.. kweny BUT yako, what is the point ya treni ya Tanzania kuwa coloured yellow?
 
Im one of biggest haters wa sa100 na serikal ya sasa ilivyo dhaifu😆
Ok. Tuendelee na hoja nyingine.. kweny BUT yako, what is the point ya treni kuwa coloured yellow?
Rangi wanazotumia ni za TRC, kampuni ya serikali. Lakini in my opinion, huu mradi unatumia fedha nyingi sana. Watu watahisi national pride kama moja ya rangi Au coordination ya rangi zote za bendera ya taifa zikitumika. Pia Yellow is a good color choice for moving vehicles as it’s very sensitive to the eyes. And yellow is a color we use on our flag. It’s really no brainer to me that it would be a great choice.
 
Rangi wanazotumia ni za TRC, kampuni ya serikali. Lakini in my opinion, huu mradi unatumia fedha nyingi sana. Watu watahisi national pride kama moja ya rangi Au coordination ya rangi zote za bendera ya taifa zikitumika. Pia Yellow is a good color choice for moving vehicles as it’s very sensitive to the eyes. And yellow is a color we use on our flag. It’s really no brainer to me that it would be a great choice.
So mradi kutumia hela nyingi, ni rangi iliyopo kwenye bendera ya taifa na color visibility ndo sababu unaikataa hio rangi ya sasa na ibadilishwe iwe yellow? Thats all or kuna mengine hujasema?
 
So mradi kutumia hela nyingi, ni rangi iliyopo kwenye bendera ya taifa na color visibility ndo sababu unaikataa hio rangi sasa na ibadilishwe iwe yellow? Thats all or kuna mengine hujasema?
Yes. Allegorical representation ya yellow pia ni kitu muhimu. SGR inajengwa kufikia mineral deposits upcountry and to our neighbors. The yellow on our flag stands for our ubundant mineral resources. I like details, so if you are a bland individual, you wouldn’t understand.
 
Yes. Allegorical representation ya yellow pia ni kitu muhimu. SGR inajengwa kufikia mineral deposits upcountry and to our neighbors. The yellow on our flag stands for our ubundant mineral deposits. I like details, so if you are a bland individual, you wouldn’t understand.
Ase, kama hizo ndo vivid points, bas sawa naungana na wew, zimebadilishwe ziwe yellow. Have a great time
 
Ase, kama hizo ndo vivid points, bas sawa naungana na wew, zimebadilishwe ziwe yellow. Have a great time
Pia hata ukiangalia station designs zinabeba details nyingi kuhusu nchi. Tanzanite station ya Dar es salaam, pia kuna station za Kati Kati kama Soga zimepewa design ya “Coat of Arms” ya Tanzania. Hii miradi sio random. Watu wanakaa kufikiria symbolism itakayofanya watu wajivunie na miradi ya nchi. Na opinion yangu sio wabadilishe. Pesa imeshatumika kupaka rangi hizo treni. I just think they should’ve thought this through, and maybe in the future, if they purchase new trains or if the current color starts wearing off, they should know which colors to use.
 
Pia hata ukiangalia station designs zinabeba details nyingi kuhusu nchi. Tanzanite station ya Dar es salaam, pia kuna station za Kati Kati kama Soga zimepewa design ya “Coat of Arms” ya Tanzania. Hii miradi sio random. Watu wanakaa kufikiria symbolism itakayofanya watu wajivunie na miradi ya nchi. Na opinion yangu sio wabadilishe. Pesa imeshatumika kupaka rangi hizo treni. I just think they should’ve thought this through, and maybe in the future, if they purchase new trains or if the current color starts wearing off, they should know which color to use.
Ok. Have a great time mkuu
 
Yellow is a pretty good color. This rare Japanese Shinkansen train nicknamed ‘Doctor Yellow’ looks amazing.

95378C6B-6380-473F-8584-A95B48F2C499.jpeg
55AE27E1-09AA-48E7-B8AA-F100EECE69D9.jpeg
D3F8337E-D043-4113-B414-EE6144F60BBB.jpeg
 
Im one of biggest haters wa sa100 na serikal ya sasa ilivyo dhaifu na kwa position niliyonayo naifanya iwe dhaifu zaid😆
Ok. Tuendelee na hoja nyingine.. kweny BUT yako, what is the point ya treni ya Tanzania kuwa coloured yellow?
Labda ni mwananchi😂😂
 
Back
Top Bottom