The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Eti mkenya anaita Tz nchi ya hovyo Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watanzania wamelewa na Kenya.. hawkers, boda boda riders na omba omba, wanakuja wachache kisha wanaona hela iko wanaitana., ujinga tuondolee kilaza.. mko miongoni mwa nchi tatu hovyo sana Africa kwa ufukara!