Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu pumzika.. achana na hii mada.. nilitaka kuleta proof (ticket) ya flight kutoka Dar hadi Bukoba directly na return flight ndo ilikuwa ya Bukoba-Mwanza-Dar either ya softcopy (ticket pic) or hardcop (ticket) bahat mbaya nimeikosa... those days nilienda kwa ishu ya substation ipo kibeta. otherwise mtaendelea kubishana na kitu meaningless
Nikiipata bila shaka nitaleta
Nishaachana nayw huyo...yaan anapachukia Bukoba as if sio Tanzania...

Kwan kukijengwa Airport mpya Bukoba yeye anapungukiwa nini hapo?

Mimi as long somethings ni uwekezaji tz hata airport ikijengwa huko lindi..it doesn't matter ni maendeleo hao...

Imagine Geza ulole ndo awe mkuu wa mkoa wa kagera..imagine...

Mimi mwenyew na uhakika...bukoba kuna direct flights kutoka Dar Bukoba na return yake...tena kuna msimu kuna kuna zote zile zinazopita mwanza na zile direct to dar bila kupitia mwanza....

Bukoba kuna uwekezani gan wa maana wa serikali..watu wanajitafutia pesa wenyew wanapambana..so hakuna haja ya kuwaonea wivu wakijaza hizo ndege
 
Aawapii endeleeni kuliwazana na kupeana Moyo! Air Tanzania inaenda mara tatu kwa wiki!
 
Yeah, No direct flight from Dar to BKZ without landing in MWZ. TC has Dar-Mwz-Bkz and it's TC 100.
Mkuu zipo mkuu..mara nyingi from Dar to Bukoba...

Return mara nyingi ndo zinapitia mwanza
Screenshot_20221120-194457.jpg
Screenshot_20221120-194539.jpg
 
one might think it's africon...
kisa...
..upto 90% of players frm both sides, ecuador vs qatar are black👊🏾✊🏾skin like me!🤔
 
Sijui umbali wa huu uwanja na KIA ukoje na mim sio mtalaam wa viwanja vya ndege.. lkn wakifanya huu uwanja kwa ndege ndogo (mostly for tourists) au domestic flight afu KIA for international flight hakuna shida
Uwanja uko Soweto Moshi, umbali hadi kufika KIA ni kama 40+ KM.... Uwanja huo sana sana unatumiwa na ndege ndogo za Watu binafsi na kampuni za utalii.

Eneo la uwanja pameshajengeka sana... Upanuzi zaidi hauwezekani... Labda kama Watu watahamishwa.
 
Kaka KIA wenyewe hata hauko overutilized , anyways i think 12 billion could be spent somewhere and hyo airport ingesubiri.Bora hata wangejenga Cable Cars kwenda mlimani
Mimi napinga cable cars kwenda kilele cha mlimani. Raha na ladha ya kupanda mlima ule ni kutembeaa... Kupanda pole pole na kuweka camps hadi kufika juu.

Ukiweka cabLe excitement ya trekking inapotea kabisaa...
 
Why go for GMO when Tz can supply you sufficient maize at the friendly price, the price you can afford ? Why go that further ?
Mahindi yetu pekee hayawatoshi hawa wajinga, wamezaana kama mbwa, wapo wengi kuliko sisi wenye linchi likubwa mara mbili na nusu ya kanchi kao.

Alafu pia wacha wale GMO tu wazidi kudumaa
 
Back
Top Bottom