joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Bado 2022 unafikiria na kuzungumzia lugha ya kiingereza?, Bado akili yako ipo ndani ya msitu wa maumau, toka huko wenzako wameshaendelea siku hizi, hayo uliyonayo ni mawazo ya zamani sana
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Endeleeni kuthamini lugha za wazungu sisi tunaendelea kuwatawala kwa kila kitu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

