Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cable cars ilipigwa chini na shareholders wa tourists guide.. someone in my family working at NEMC has all documents or meeting minutes
Cable cars ingeongeza sana tourism .Mimi naona bado mainland hatupati tourist wa kutosha Hata mount Kilimanjaro revenues sio kubwa sana

Najua southern circuit inafanyiwa kazi
Iringa Airport is underexpansion which is very important kwa Ruaha national park
 
Hata Bukoba haiitaji International. Airport. Ni basi tu kwa sababu ya accident ila Bukoba airport ni nzuri tu na inatosha .

I agree every region needs an airport.Ila hii hela ingeenda , Kilwa , Mafia , Sumbawanga, Shinyanga hii miji inahitaji airports zaidi
Kilwa na Mafia cause of tourism

Moshi has KIA which is 35 km from Town and still not utilized to its peak
Kilwa hamna mradi! Ila Kilwa ni Lindi mzee!
Fh--QOyXwAAD_W6
 
Cable cars ingeongeza sana tourism .Mimi naona bado mainland hatupati tourist wa kutosha Hata mount Kilimanjaro revenues sio kubwa sana

Najua southern circuit inafanyiwa kazi
Iringa Airport is underexpansion which is very important kwa Ruaha national park
tatizo tour guides wako shallow hawataki kujiongeza! wanadhani cable car itaondoa wapandaji mlima kwa miguu! Si kweli!
 
Mradi Wa Moshi siu-support ila inakaa wanaiga Wahaya kwa ubinafsi! Ila wao wana afadhali nyie mwaka wa 10 hamna abiria wa kujaza ndege na kufanya safari za kila siku ila upo humu unataka Omkanjuguti international Airport!
Moshi hakuna airport ile ni airstrip ndege ndogo tuu za private ndio huwa zinaweza kutua.
 
Hadid Zaha Fifa2022 Stadium design.

in Her Concept/Philosophy.. she wanted to be scream out loud!! to emphasis on feminism and how female gender is discriminated when it comes to engineering matters......

truely, her complain will be fully heard by the whole world during this world cup that kicks off today 20/11/22

bull's eye..!
her goal will be fully realized 100%!!View attachment 2422251View attachment 2422250
Bulls eye au nanihii hii.
 
Hebu kabook ndege ya kesho Bukoba Leo sasa hiv uone kama utapata seat....

Maana unaongea kwa hisia tu...
Huyu sijui huwa anaongea anawaza nini,chuki chuki tu za kipuuzi ndio zinamuongoza. Mpotezee hawezi kukuelewa kaka, anachuki na mkoa wa Kagera utadhani analipwa kuwapondea wahaya. Nshomile this,Wahaya that hanywi maji kila akisikia kitu chochote cha maendeleo ya wahaya.
 
Una uhakika na hili unalolisema?

Hebu fanya tafiti vzr
Nina uhakika Bukoba airport haina direct daily flights za (ATR/Q400) mwaka wa kumi kwa vile hamna abiria wa kutosha! haihitaji utafiti ingia websites za Precisionair na Air Tanzania angalia! Halafu angalia destinations za Kilimanjaro, Arusha, Mwanza, Dodoma na Zanzibar! Mpo humu kujishaua tu, huku ndege ya 70 PAX hamuwezi kuijaza!
 
Una uhakika na hili unalolisema?

Hebu fanya tafiti vzr
Mkuu pumzika.. achana na hii mada.. nilitaka kuleta proof (ticket) ya flight kutoka Dar hadi Bukoba directly na return flight ndo ilikuwa ya Bukoba-Mwanza-Dar either ya softcopy (ticket pic) or hardcop (ticket) bahat mbaya nimeikosa... those days nilienda kwa ishu ya substation ipo kibeta. otherwise mtaendelea kubishana na kitu meaningless 🤣
Nikiipata bila shaka nitaleta 😂
 
Mkuu pumzika.. achana na hii mada.. nilitaka kuleta proof (ticket) ya flight kutoka Dar hadi Bukoba directly na return flight ndo ilikuwa ya Bukoba-Mwanza-Dar either ya softcopy (ticket pic) or hardcop (ticket) bahat mbaya nimeikosa.. otherwise mtaendelea kubishana na kitu meaningless 🤣
Nikiipata bila shaka nitaleta 😂
Usiwe mpuuzi nawe Bukoba haina daily direct flights lazima i-share na Mwanza maana yake wasafiri wa Bukoba pekee hawawezi kujaza Ndege Monday to Sunday bila ku-combine na Mwanza! Leta hiyo evidence yako na utueleze kama abiria wapo mbona Air Tanzania na Precisionair haziendi direct Bukoba Monday to Sunday mwaka wa kumi huu?
 
Usiwe mpuuzi nawe Bukoba haina daily direct flights lazima i-share na Mwanza maana yake wasafiri wa Bukoba pekee hawawezi kujaza Ndege Monday to Sunday bila ku-combine na Mwanza! Leta hiyo evidence yako na utueleze kama abiria wapo mbona Air Tanzania na Precisionair haziendi direct Bukoba Monday to Sunday?
Sawa hakuna. Mada iishe
Nadhan umeliridhika sasa. 🤣
 
Sawa hakuna. Mada iishe 😂
Nadham umeliridhika sasa.
Sio nimeridhika ndo ukweli ingia website za Air Tanzania na Precisionair angalia siku wanazoenda Bukoba kwa wiki na tena wana-share na Mwanza! Halafu mnang'ang'ania Omkanjuguti international Airport huku mmeshindwa kujaza size ya ATR na Q400 daily!
 
Watanzani, niwaombe vitu vingine tujifunze kupuuzia hasa kwa watu wabishi na much know🤣


Kiingereza kinakupiga chenga! I said Daily flights Dar-Bukoba bila kudunduliza abiria na Mwanza hamna! Yaani Dar-Bukoba-Dar na si Dar-Bukoba-Mwanza-Dar! Mwaka wa kumi huu uwanja wa capacity ya 500,000 PAX a year unaoza pale! Unatuonyesha seasonal offers wakati naongelea year around!
 
Back
Top Bottom