Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,895
- 103,759
Hata usihoji sana...serikali ilishakubali...na wataujenga tu hio omkajunguti airport...ndo hali halisi iliyopo sasa kama Mwanza kuna terminal inajengwa haijakamilika halafu wanadai nyingine, kule Bukoba kuna airport mwaka wa tisa undrutilized sasa wanadai Omukanjuguti, mbona Moshi wasidai uwanja wao wa zamani uboreshwe tena wanaweza kudai kuna wateja wa kutosha na utalii! Vuluvulu kila mahali!
Ndo washakubali sasa...Omkajunguti International airport itajengwa tu...lazima wajenge tu...wao viongozi watafikaje Bukoba kama usafiri wa ndege ndo rahisi kwao...waliowahi kusafiri na ndege kuelekea bk na ndege wanajua tatizo wanalokumbana nalo kwenye kutua hata kama hali ya hewa ni nzr kiasi gani...tatizo la Bukoba sio hali ya hewa kiviile...la hasha ni uwanja...hawa wanahitaji uwanja mwingine kama Bukoba!
Porojo ya Mwandishi wa kihaya hamna chochote! Hiyo runway inaweza kuongezwa urefu kwa ku-reclaim land! Bakhresa kaweza hotel Verde ishindwe serikali?Ndo washakubali sasa...Omkajunguti International airport itajengwa tu...lazima wajenge tu...wao viongozi watafikaje Bukoba kama usafiri wa ndege ndo rahisi kwao...waliowahi kusafiri na ndege kuelekea bk na ndege wanajua tatizo wanalokumbana nalo kwenye kutua hata kama hali ya hewa ni nzr kiasi gani...tatizo la Bukoba sio hali ya hewa kiviile...la hasha ni uwanja...
Na hakuna namna wanaweza kupanua pale...maana kule mbele kuna viwanda na majumba makubwa na mlima...kupanua upana wa uwanja itabidi wavunje hadi katikati ya mji...then mji wa Bukoba wote utakuwa airport...
Ziwani wakipanua nako watakisogelea hicho kisiwa...
So the best option ni kujenga kiwanja kipya tu hakuna jinsiView attachment 2422178View attachment 2422179View attachment 2422181
We jamaa una chuki na maendeleo ya kanda ziwa...yanakunyima usingizi...Porojo ya Mwandishi wa kihaya hamna chochote! Hiyo runway inaweza kuongezwa urefu kwa ku-reclaim land! Bakhresa kaweza hotel Verde ishindwe serikali?
Mradi Wa Moshi siu-support ila inakaa wanaiga Wahaya kwa ubinafsi! Ila wao wana afadhali nyie mwaka wa 10 hamna abiria wa kujaza ndege na kufanya safari za kila siku ila upo humu unataka Omkanjuguti international Airport!We jamaa una chuki na maendeleo ya kanda ziwa...yanakunyima usingizi...
Mbona moshi kuna airport mbili na wala no maneno...
Kama kitu kinajengwa Tz..hata kama ni kwenye maji...hayo yote ni maendeleo....ubinafsi sio mzr mkuu
Hebu kabook ndege ya kesho Bukoba Leo sasa hiv uone kama utapata seat....Mradi Wa Moshi siu-support ila inakaa wanaiga Wahaya kwa ubinafsi! Ila wao wana afadhali nyie mwaka wa 10 hamna abiria wa kujaza ndege na kufanya safari za kila siku ila upo humu unataka Omkanjuguti international Airport!
Hadid Zaha Fifa2022 Stadium design.Michel Angelo's Reconnaissance styles of Romanisque, Rococo and Baroque that embraced Ornamental Architecture is not only outdated! but also obsolete!. and was only practices in the 18th and 19th centuries.
The current 'Modern Architecture' or the 'International Style' is a style initiated in the 1920s by the following philosophers, who believed in 'Simplicity' and 'Non-Ornamental Structures'. That's when skyscrapers were introduced, and they believed tht for a building to go up many storeys, the building should be very light, hence emphasised on use of only 'Steel&Glass'
Examples of these modern architects include:-
-Frank Lloyd Wright [FLW], and who is famous for his phylosophy, The Prairie and Usonian Style.
-Mies Van de Rohe, who is famous for his famous phylosophy, The Bauhau and Stijl style. He also believed in 'Free Circulation and Open Interconnecting Spaces(rooms) within the house'. His famous quotes are like:-
-"Less is more".
-"Simplicity is Complexity".
-"God is in the detail"
-Le Cobusier who believed that modern building should look and feel like machines. among his famous concepts included 'suspension of ground floor for highrise buildings to allow for vehicle parking lots. he believed tht in the future, vehicles will be many. He also believed in, incorporating greenery vegetations within the exterior floors of highrise buildings. He also embraced Ribbon Windows.. ie. continuous running windows
-other influential 'modern' architects of the 1920s onwards include the likes of:-
▪︎Louis Sullivan ie.(The Father of Modern Skyscrapers)
▪︎Walter Gropius.
▪︎Peter Bherens.
more recent recognised modern architects with specific philosophies include:-
-Hadid Zaha (the Queen of curves), who designed the famous, Fifa2022 "Vagina" Stadium in Qatar🇶🇦, and the famous Beijing International Airport. etc etc.
Walker255, if u did architecture as a course at campus, u ll remember all these in the unit, 'History of Architecture'
ndege zenu mnaunganisha na mwanza hamjawa na capacity ya daily direct flights! Hata iliyodondoka ilikuwa na abiria wa mwanzaHebu kabook ndege ya kesho Bukoba Leo sasa hiv uone kama utapata seat....
Maana unaongea kwa hisia tu...
Sijui umbali wa huu uwanja na KIA ukoje na mim sio mtalaam wa viwanja vya ndege.. lkn wakifanya huu uwanja kwa ndege ndogo (mostly for tourists) au domestic flight afu KIA for international flight hakuna shidaUkiskia wastage of resources ndo hizi..Hiyo Billion 12 wangenunua machine za Dialysis na kuongeza dialysis centre au hata kujenga Km 10 za lami View attachment 2422294
Kaka KIA wenyewe hata hauko overutilized , anyways i think 12 billion could be spent somewhere and hyo airport ingesubiri.Bora hata wangejenga Cable Cars kwenda mlimaniSijui umbali wa huu uwanja na KIA ukije.. lkn wakifanya huu uwanja kwa ndege ndogo (mostly for tourists) au domestic flight afu KIA for international flight hakuna shida
ndo halli ilivyo sasa, ningefurahi kama tungekuwa tunasema hivi hata kwa wale wanodai Omukanjuguti international airport huku uwanja walionao uko underutilized! Ikumbukwe hili eneo limelindwa miaka yote hamna hata fidia itatolewa!Ukiskia wastage of resources ndo hizi..Hiyo Billion 12 wangenunua machine za Dialysis na kuongeza dialysis centre au hata kujenga Km 10 za lami View attachment 2422294
Ndo washakubali sasa...Omkajunguti International airport itajengwa tu...lazima wajenge tu...wao viongozi watafikaje Bukoba kama usafiri wa ndege ndo rahisi kwao...waliowahi kusafiri na ndege kuelekea bk na ndege wanajua tatizo wanalokumbana nalo kwenye kutua hata kama hali ya hewa ni nzr kiasi gani...tatizo la Bukoba sio hali ya hewa kiviile...la hasha ni uwanja...
Na hakuna namna wanaweza kupanua pale...maana kule mbele kuna viwanda na majumba makubwa na mlima...kupanua upana wa uwanja itabidi wavunje hadi katikati ya mji...then mji wa Bukoba wote utakuwa airport...
Ziwani wakipanua nako watakisogelea hicho kisiwa...
So the best option ni kujenga kiwanja kipya tu hakuna jinsiView attachment 2422178View attachment 2422179View attachment 2422181
Hii sehemu haina nafasi ya kuwa na uwanja wa ndege kubwa! Runway length haiwezi kuzidi 1.5 km! Ila kwa design hii naona vurugu tu!Sijui umbali wa huu uwanja na KIA ukoje na mim sio mtalaam wa viwanja vya ndege.. lkn wakifanya huu uwanja kwa ndege ndogo (mostly for tourists) au domestic flight afu KIA for international flight hakuna shida
Hata Bukoba haiitaji International. Airport. Ni basi tu kwa sababu ya accident ila Bukoba airport ni nzuri tu na inatosha .ndo halli ilivyo sasa, ningefurahi kama tungekuwa tunasema hivi hata kwa wale wanodai Omukanjuguti international airport! Ikumbukwe hili eneo limelindwa miaka yote hamna hata fidia itatolewa!
halafu watu wasichojua kile kisiwa kisichokaliwa kinaweza kikawa part of the runway! Mpeni Mchina tender anakupigia runway ya daraja pale kuunganisha kisiwa na runway iliyopo au anafanya land reclaimation pale!Hata Bukoba haiitaji International. Airport. Ni basi tu kwa sababu ya accident ila Bukoba airport ni nzuri tu na inatosha .
I agree every region needs an airport.Ila hii hela ingeenda , Kilwa , Mafia , Sumbawanga, Shinyanga hii miji inahitaji airports zaidi
Kilwa na Mafia cause of tourism
Moshi has KIA which is 35 km from Town and still not utilized to its peak