Matatizo duniani hayaishi, wacha kujitoa ufahamu, kwa sasa taifa lenu ni vilio tupu, mara umeme, ukosefu wa maji, bei ya bidhaa kupanda, kukosa hela, utapia mlo, ilhali serikali yenyewe ni hafifu kiuchumi, mko hovyo., peleka huu ujinga wako jukwaa lenu la siasa uone., hauniambii lolote wewe, Tanzania ni nchi ya watu wengi hovyo kuwai tokea Africa!! rasilmali kibao na bado ni mifukara wa kutupwa, huo si ni ujinga kama sio laana!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]