Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Walichora lipstic ikabuma, wakaanza kujenga vituo imebuma tena, wakaleta mabasi sijui ya umeme, yamepack museum…….Kenya bhana[emoji23][emoji23]
Navyofikiri ni sawa...


WALE WAMILIKI WA MATATU NDO WANAKWAMISHA BRT YAO ISIJENGWE...PLUS CORRUPTION
 
Haha. Ata wakipanda miti ipe 20 years ifanane na a real State House.
Government should not have shortage of green land. Sijui mbona walichagua jangwa.

Machakos Governor's office any day.

Dodoma
View attachment 2418772

Machakos
View attachment 2418773

View attachment 2418775
Jifunze kitu kwanza
20221115_181807.jpg
20221115_221201.jpg
20221115_181804.jpg
 
Kampuni 500 ambazo zimewekeza only $1 bn ndio ziajiri Wakenya wengi kiasi cha Tanzania kuizidi SA kwa nchi zinazowapa Wakenya remittance? Na kwenye hiyo _$1 bn ondoa benki ya KCB ambayo imewekeza karibu nusu ya hyo pesa, so hiyo inayobakia ndiyo hizo kampuni nyingine zinagawana, sasa utaita hzo kampuni au uchafu?

Wakenya wengi wameajiriwa hapa Tanzania kama walimu na asilimia kubwa wanatundisha kindergarten usitake kujifanya hujui hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usd.1.7B employing 56,000 Tanzanians imagine, hii .7 mbona hauitaji
 
Tunasubiri matokeo yani hata sijui ni vita gani mushawah kupigana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] alshabab mumewashindwa mutaweza DRC


Mbona hawa mabwana zako walitoroka kismayo vile waliskia kdf wanakuja saa zingine wacha kutumia kichwa kama hanger ya meno msee[emoji23][emoji23] enda ground
 
How can Tanzania be Chinese gateway to Africa yet it doesn't have Chinese funded project that starts from any of your ports to the inland Africa? Mbona huwa mnapenda kujidanganya na kudanganywa pia? In fact China doesn't trust Tanzania.
Kwani Tazara railway na Tazama pipeline inaanzia wapi na kuishia wapi hapa Africa jaribu kutumia akili yako hata 0.1% itakusaidia huko mbele.
 
Hebu malizia hii BRT...yaan wamiliki wa matatu wanawashinda akili....


Jijo lenu hata likiendeleaje...kama halina public transport ya kueleweka litabaki uchafu milele tu...hebu malizieni BRT hii mpendezeshe mji wenu...


Hiyo ni brt au ni vibanda vya bus stop tuu?
 


Mbona hawa mabwana zako walitoroka kismayo vile waliskia kdf wanakuja saa zingine wacha kutumia kichwa kama hanger ya meno msee[emoji23][emoji23] enda ground

Aliekwambia nani walitoroka ikiwa kila siku munauliwa kama kuku 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom