Mm nakwambia Wakenya wengi wanajuta kuwa Wakenya na ndiyo maana wengi wenu mnawaza kutoka nje ya Kenya kwenda mahala pengine mfano USA au Tz kwa hapa Africa. Hakuna Mkenya asiyependa kuwa mtz sema ndiyo hvyo tena haiwezekani, wengi wenu mkija Tz hamtaki kurudi kwenu, ukiuliza utaskia Mkenya anasema Tz tamu ina sehemu nyingi za starehe na pia ina mazingira mazuri.
Ni kweli Tz ni tamu lkn Wakenya wengi mnapenda kuzamia nchi za watu mfano USA na Tz kwasababu wengi wenu hamjaridhika kuwa Wakenya na hamuipendi Kenya.
Usijitekenye, njoo Kenya uchukue wenzako wanaikimbia hiyo "paradiso" iliyo tu ndani ya akili zako.., kujidanganya na kujitekenya to feel good hujambo, mko hovyo, usijitoe ufahamu mjukuu😂😂😂😂😂😂😂, pale Tz we go for starehe, just like any other poor country na kuwatafuna kwa ujinga wenu, taking advantage, nyie malofa uwezo wa kuzunguka dunia hamuna, mmeganda tu Tz, clueless and zero exposure 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Pata elimu uelewe dunia imekua a global village, to succeed in life u have to think global kilaza, la sivyo utakufa fukara kama mababu zako., they were limited..., so Tanzania, uganda, Rwanda, Burundi fursa ikijipa tunaichangamkia kwa haraka.., naona waganda pia wameamka, kule South Sudan wana compete na wa Kenya kwa fursa ya kuchuma hela, Tz zero, ndio maana wengi mnabakia mifukara wa kutupwa ukanda huu na SADC.., wale waTz walio chanuka utawapata Kenya, SA, na pia Uganda wakifanya biashara, wanaleta mali na kuuza, ndio wenye hela na maendeleo, wewe umeganda kwa airport ukifanya "ulinzi" (blue collar job) not even white, mtumwa nchini kwake 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂, , the day you retire hauna anything ya maana ya kuonyesha eti ulikua unafanya kazi😂😂😂😂😂😂😂😂😂 think outside the box mjukuu, jiangalie mlivyo maboya, poleni nawaombea muone mwangaza 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Omba omba wenu wako na nafuu kukuliko, wanatafuta pesa ya Kenya, hiyo yenu ya madafu wanaikimbia, haiwasaidii 😂 😂 😂 😂 😂 😂