Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pale ubungo mnaiongeleaje huo muungano, brt ya sam numoja road na mandela road zitakapojengwa au ndo ile inaingia kama unaenda mawasiliano kuelekea bus terminal ya zaman
Anha ndo nimesema kwa Ubungo na Sam njuoma road.Itakuwa lane za chini zitatumika mfano kwa BRT zinazotoka Buguruni kuja magomeni mfano.

La sivyo inabidi zicross BRT kwa juu ile flyover zije ziingilie pale Simu 2000 zitokee Ubungo terminal.

Kama wakiweka flyovers itabidi after few meters waweke U-Turn roads kwa BRT kubadilisha routes
 
Anha ndo nimesema kwa Ubungo na Sam njuoma road.Itakuwa lane za chini zitatumika mfano kwa BRT zinazotoka Buguruni kuja magomeni mfano.

La sivyo inabidi zicross BRT kwa juu ile flyover zije ziingilie pale Simu 2000 zitokee Ubungo terminal.

Kama wakiweka flyovers itabidi after few meters waweke U-Turn roads kwa BRT kubadilisha routes
Maelezo ya juu sijaelewa.. ila hapo kwa U turn, ndo hiko kipande cha mawasiliano na terminal ya zamam
 
Maelezo ya juu sijaelewa.. ila hapo kwa U turn, ndo hiko kipande cha mawasiliano na terminal ya zamam
Yani BRT buses zitakuja kwenye lane za kawaida na itabidi kuwe na nafasi ziunge lane nyingne..kwahyo itakuwa hectic.

So kama kutakuwa na flyover itabidi kuwe na U Turns
 
Wadau tafuten 🍿 tuangalie show za wababe wa dunia


hakuna cha kushabikia hapa.. maana dunia nzima itaangamia, ata hii vita imenukuliwa vizuri sana kwenye bibilia na koran...

hakuna cha kushabikia hapa.. maana norther hemisphere yote ita cease to exist kwa masaa machache tu..
alafu baadae sisi tutafuata kuangamia kutokana na nuclear winter ie. inhalation..
🌞 jua haitawai angaza tena duniani kwa karne zingine mbili zijazo..
hence wiping away the entire humanity, animal and plant life, eversince God's creation in Sa'ana/Aden ie. the current capital of Yemen 🇾🇪
 
Pale ubungo mnaiongeleaje huo muungano, brt ya sam numoja road na mandela road zitakapojengwa? au ndo itakuwa ile njia inayoingia kama unaenda mawasiliano kuelekea bus terminal ya zaman..

i see confusion..

But nilitaka kujua anaepanda brt tuseme external au mwananchi na anaenda kimara, connection au muungano wake wa kutoka mandela road na morogoro road ya kimara utakuwaje.. nimepata jibu 🤣🤣 au bus moja hilohilo ndo itakuwa inazunguka pale mawasiliano na kutokea terminal ya zaman kuendelea na safar morogoro road. Same to anaetoka kimara na kwenda external au mwananchi
Yeah iyo ndo option pekee au wanaweza kuamua pale exteno wanaweza kubranch barabara ipitie viwandani ikaibukie shekilango kule
 
Grevy's Zebra

111.jpg
 
hakuna cha kushabikia hapa.. maana dunia nzima itaangamia, ata hii vita imenukuliwa vizuri sana kwenye bibilia na koran...

hakuna cha kushabikia hapa.. maana norther hemisphere yote ita cease to exist kwa masaa machache tu..
alafu baadae sisi tutafuata kuangamia kutokana na nuclear winter ie. inhalation..
jua haitawai angaza tena duniani kwa karne zingine mbili zijazo..
hence wiping away the entire humanity, animal and plant life, eversince God's creation in Sa'ana/Aden ie. the current capital of Yemen
Fungua kanisa, haya yanafaa Sana ukiyasema kanisani, huku habari ya Mungu hatukuelewi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 



Nyang'au mpo??
Hivi ndivyo wataalam wa Asia wanavyo chambua mambo huko kwao.
How can Tanzania be Chinese gateway to Africa yet it doesn't have Chinese funded project that starts from any of your ports to the inland Africa? Mbona huwa mnapenda kujidanganya na kudanganywa pia? In fact China doesn't trust Tanzania.
 
Unaongelea history yet you don't have any clue about Tanzanian history. Wewe uko sure ulikanyaga shule kweli?

The initial statehouse in Dar is slum was designed by the Germans.
Unajiona unajua kumbe hakuna lolote unajua! Wajerumani walijenga ile ikulu? Unafikiri watanzania wako brainwashed kama nyinyi? We know our history!!
 
How can Tanzania be Chinese gateway to Africa yet it doesn't have Chinese funded project start from any of your ports to the inland Africa? Mbona huwa mnapenda kujidanganya na kudanganywa pia? In fact China doesn't trust Tanzania.
Kwa Leo umepotea unadhani kuwa na china funded project ndio Kuna stimulate business.Sisi wachina tunawapa kazi sio wao kutupa kazi labda kwenye viwanda.Kenya mmerusu china kuipa nchi kazi badala ya nchi kuwawa wachina kazi.
 
Kenya ni nchi ya kimavi mavi sn huniambii chochote kuhusu Kenya nikakuelewa, Wakenya wengi hampendi nchi yenu including you.
Ukweli haikuachagi salama, hadi unadhani unajua hisia zangu kuhusu Kenya, I am proud to be born in Kenya.., hakuna watu wazalendo kama wakenya.., popote duniani tunawaza Kenya, hatupeleki omba omba duniani kama nyie, wakati mnaleta omba omba Kenya, boda boda riders na hawkers, wakenya wanafanya mambo makubwa duniani.., dunia haiwatambui kwasababu ya uzembe na ushamba, mpo mpo tu., see how we rock.., tunaitafuna Tanzania kwa kuchuma na kurejesha Kenya, hadi France.., tunavuna hela kote kote tukileta nyumbani, even your gold tuna smuggle bila huruma😂😂😂😂😂., nyie mmezubaa vijiweni mnangoja SGR ya umeme muweke mapicha, idiots 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .,
1668580218666.png


Meanwhile..., tazama mlivyo, mnaikimbia paradiso eti..,no hope to make it in Tanzania 😂😂😂😂😂😂😂😂
1668580921135.png

1668580936150.png
 
Back
Top Bottom