Matokeo ya kukurupuka na miradi na uwezo hamuna, pesa ya kugaramia mtoe wapi, ndio maana mnafanya kwa mwendo wa kobe, mkihujumu sectors zingine.., kopa mmalize miradi, nyie ni mifukara bado.., SGR kilometers chache hadi waleo haijaanza kazi, kujenga ka flyover tu in Dar inawachukua zaidi ya mwaka 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .., nenda ukadanganye makajamba wenzako wasio elewa economics ya infrastructure development., taifa mingi hapa Africa ziko na plans kubwa zenye zinahitaji mabillioni ya dollar, haimaanishi wako na hizo hela cash., wewe ni boya sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂