Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajiona unajua kumbe hakuna lolote unajua! Wajerumani walijenga ile ikulu? Unafikiri watanzania wako brainwashed kama nyinyi? We know our history!!
You are empty upstairs.

Screenshot_20221115-204032_1.jpg
 
🤣🤣🤣 We jamaa ukapimwe akili.. kwa hizi takataka even ARUSHA is above of Mombasa ikija suala la street level
blind patriot.., Mombasa ni Dar na Dar ni Mombasa, zoea huo ukweli mapema usife kwa pressure., ni uchungu najua ila vumilia, vitukuu vyenu vitafika kuona such in Tanzania nje ya Dar, ila hiki kizazi chenyu cha sasa hamtafika kuona, don't have false hopes please, ukweli usemwe tu, hadi raha😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Ukweli hakuachagi salama, hadi unadhani unajua hisia zangu kuhusu Kenya, I am proud to be born in Kenya.., hakuna watu wazalendo kama wakenya.., popote duniani tunawaza Kenya, hatupeleki omba omba duniani kama nyie, wakati mnaleta omba omba Kenya, boda boda riders na hawkers, wakenya wanafanya mambo makubwa duniani.., dunia haiwatambui kwasababu ya uzembe na ushamba, mpo mpo tu., see how we rock.., tunaitafuna Tanzania kwa kuchuma na kurejesha Kenya, hadi France.., tunavuna hela kote kote tukileta nyumbani, even your gold tuna smuggle bila huruma😂😂😂😂😂., nyie mmezubaa vijiweni mnangoja SGR ya umeme muweke mapicha, idiots 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .,
View attachment 2418262

Meanwhile..., tazama mlivyo, mnaikimbia paradiso eti..,no hope to make it in Tanzania 😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2418268
View attachment 2418269
Tanzania ni mateso tupu. Wengi wao wanakimbia nchi to be either beggars, drug lords and killers.
 
Kwa Leo umepotea unadhani kuwa na china funded project ndio Kuna stimulate business.Sisi wachina tunawapa kazi sio wao kutupa kazi labda kwenye viwanda.Kenya mmerusu china kuipa nchi kazi badala ya nchi kuwawa wachina kazi.
Mmepea China kazi gani?
 
Ase hapa ndo nimejua eneo (fence) la ikulu ya Dodoma ni kubwa sana, ndan humohumo kutakuwa na mbuga ya wanyama
Magufuli tutamkumbuka kwa mengi sana, hivi ndivyo inatakiwa kwa kiongozi, fanya mambo tukukumbuke daima. Haya mambo miaka yote yalikuwa kwenye ilani lkn hayajawahi kufanyiwa utekelezaji lkn baada ya Magufuli kuingia akaanza kufatisha ilani ya CCM inavyosema na ndipo wazembe, wezi, wabadhirifu, wavivu walipoanza kumchukia.

Na mpk leo hawa watu wanamchukia sn yule kiumbe mana aliyoyafanya kwa muda mfupi aliokaa Ikulu imetosha ku disturb system yao ya upigaji, aliwanyima nafasi ya upigaji lkn pesa za upigaji akapeleka kwenye miradi kama hii na mingine mingi.

Tunamshukuru Mungu kwa uwepo wa Magufuli, asante sana Mungu japo kwa ss wapigaji wamerudi kwa kasi kubwa kufidia deni alilowaachia Magufuli lkn atleast nchi ilineemeka na bado inaneemeka cz japo wanapiga ila kuna miradi aliianzisha Chuma ni lazima waimalize watake wasitake.
 
Hebu malizia hii BRT...yaan wamiliki wa matatu wanawashinda akili....


Jijo lenu hata likiendeleaje...kama halina public transport ya kueleweka litabaki uchafu milele tu...hebu malizieni BRT hii mpendezeshe mji wenu...



Nairobi have better public transport than Dar.
 
Ukweli haikuachagi salama, hadi unadhani unajua hisia zangu kuhusu Kenya, I am proud to be born in Kenya.., hakuna watu wazalendo kama wakenya.., popote duniani tunawaza Kenya, hatupeleki omba omba duniani kama nyie, wakati mnaleta omba omba Kenya, boda boda riders na hawkers, wakenya wanafanya mambo makubwa duniani.., dunia haiwatambui kwasababu ya uzembe na ushamba, mpo mpo tu., see how we rock.., tunaitafuna Tanzania kwa kuchuma na kurejesha Kenya, hadi France.., tunavuna hela kote kote tukileta nyumbani, even your gold tuna smuggle bila huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., nyie mmezubaa vijiweni mnangoja SGR ya umeme muweke mapicha, idiots [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .,
View attachment 2418262

Meanwhile..., tazama mlivyo, mnaikimbia paradiso eti..,no hope to make it in Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2418268
View attachment 2418269
Mm nakwambia Wakenya wengi wanajuta kuwa Wakenya na ndiyo maana wengi wenu mnawaza kutoka nje ya Kenya kwenda mahala pengine mfano USA au Tz kwa hapa Africa. Hakuna Mkenya asiyependa kuwa mtz sema ndiyo hvyo tena haiwezekani, wengi wenu mkija Tz hamtaki kurudi kwenu, ukiuliza utaskia Mkenya anasema Tz tamu ina sehemu nyingi za starehe na pia ina mazingira mazuri.

Ni kweli Tz ni tamu lkn Wakenya wengi mnapenda kuzamia nchi za watu mfano USA na Tz kwasababu wengi wenu hamjaridhika kuwa Wakenya na hamuipendi Kenya.
 
Kumbe Kenya BRT imewashinda...[emoji23][emoji23]..failed state indeed


Sisi wenye BRT system tunaijua vzr mana kwetu huku ipo kwa miaka mingi sasa, tuliwaambia kwa jinsi hivyo vituo vyenu vilivyojengwa na jinsi barabara zenu zilivyo haitowezekana kuwa na BRT labda mfumue barabara zote mpk Thika road ndio mjenge BRT system, wakatuona waongo, now hakuna mkunya anaongelea BRT system. Sisi ni akili kubwa bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
How can Tanzania be Chinese gateway to Africa yet it doesn't have Chinese funded project that starts from any of your ports to the inland Africa? Mbona huwa mnapenda kujidanganya na kudanganywa pia? In fact China doesn't trust Tanzania.
Hahahaha, Leo mkenya anataka kujiweka karibu na Socialism?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
How can Tanzania be Chinese gateway to Africa yet it doesn't have Chinese funded project that starts from any of your ports to the inland Africa? Mbona huwa mnapenda kujidanganya na kudanganywa pia? In fact China doesn't trust Tanzania.
Hahahaha, Leo mkenya anataka kujiweka karibu na Socialism?, Kweli njaa Haina shujaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nairobi have better public transport than Dar.
Ile cku utanionesha ka Nairobi kamewahi kushinda tunzo ya public transport kama Dar ilivyowahi kushinda basi naondoka jamiiforums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom