The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Kapicha tafadhali.Nimeingia Dodoma mchana wa leo, pamekuwa pasafi sana.
Machinga wametolewa wapo kwenye soko lao jipya la machinga.
Hongera SSH.
Naambiwa zoezi la kuwaondoa lilianza wiki hii.