Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siasa za husda haziendelezi nchi kwa hiyo hiyo miradi ya JPM iachwe aanzishe yake kama mwendazake alivyouweka kando mradi wa Bagamoyo port?

Kama ya JPM mbona isiishe? Hivi unajua kwa design ya ujenzi wa SGR wa JPM yaani kwa kudunduliza SGR Ingechukua miaka mingi sana?
Kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo, kabla hata ya Magufuli kuingia madarakani, sikua muumini wa huo mradi tangu enzi za Kikwete.

Bado sioni faida ya mradi wa Bandari ya Bagamoyo kwa Tanzania, nchi yenye Bandari 3, Bandari za Tanga na Dar" are just under 200km apart. Bado Bandari zetu zinao uwezo wa kutumika zaidi ya miaka 70 ijayo bila kuzidiwa.

Mimi sioni umuhimu wowote kwa Sasa kujenga Bandari kubwa kama Bagamoyo badala yake serikali ingejikita zaidi katika kuboresha kilimo na viwanda vidogo vidogo vya kuongeza thamani.
 
Geza, bado Nina imani Sana na uwezo wako wa kuelewa na kujenga hoja za nguvu, japo siku hizi umeamua kwa ridhaa yako kuzima Engine na kukumbatia ushabiki zaidi.

Nani aliyesema miradi isimaliziwe?, Soma hii paragraph yangu ya mwisho hapo juu, ngoja nikuwekee hapa chini na ulinganishe na hii post yako

{Bado tunasubiri mama naye abuni miradi mipya wakati akiendelea kuimalizia hiyo aliyoikuta, bado nchi yetu ni changa Sana, Kuna maeneo mengi Sana yanahitaji kufanyiwa ubunifu, anachopaswa ni kutulia nchini na kubuni miradi ya maendeleo}

Kuhusu reli ya SGR kuchukua muda mrefu chini ya Magufuli, sio kweli kwasababu tayari Magufuli alishakubaliana na yule mkuu wa AfDB ambaye walikuja kuwa Person friends kwamba AfDB ndiyo itatoa pesa kumalizia phases zilizobaki, na ndiyo iliyotoa hizo pesa.

Hata alipokwenda Chato kuzuru kaburi la Magufuli, mkuu wa AfDB alisisitiza kwamba, heshima pekee aliyonayo kwa Magufuli, ni kuhakikisha kwamba Yale waliyokubaliana kati yake Kama mkuu wa AfDB na Magufuli Kama rais wa TZ, ni kuhakikisha kwamba anayatimiza, hasa mradi wa SGR.
Haya yote yanasababishwa na nn unajua?
Mnasema SSH hatoshi...miradi yote inaendelezwa,miradi mipya ikiwemo ujenzi wa EMD katika hospital kadhaa zenye wagonjwa wengi ,Kujenga vituo vya afya katika kata ambazo zilibaki,Kujenga nyumba za watumishi wavijijini especially katika vituo vya afya ,housing scheme sambamba na kumalizia miradi iliosimama kama morocco Square, na 711 kule kawe...

Watumishi kupata stahiki zao kama kupanda madaraja,nyongeza za mishahara na kuimarisha mahusiano ya Tz na mataifa mengine...FDI imepanda maradufu tangu achukue kiti....pesa zimerudi mitaani bila kuathiri serikali kutekeleza miradi yake

Mnaosema uyu mama hatoshi toeni sababu zenye mashiko msilete maneno ya kuokota tu.

Jiwe pamoja na uzuri wake pia alikua na kasoro nyingi sana sina haja ya kuzitaja
 
ndo huyu ndugu wenu toka Tanga, yaani alipigwa na butwaa 💣💥💥 kuona venye kisumu kuko 🤣

Screenshot_20221104-130103.jpg
 
Haya yote yanasababishwa na nn unajua?
Mnasema SSH hatoshi...miradi yote inaendelezwa,miradi mipya ikiwemo ujenzi wa EMD katika hospital kadhaa zenye wagonjwa wengi ,Kujenga vituo vya afya katika kata ambazo zilibaki,Kujenga nyumba za watumishi wavijijini especially katika vituo vya afya ,housing scheme sambamba na kumalizia miradi iliosimama kama morocco Square, na 711 kule kawe...

Watumishi kupata stahiki zao kama kupanda madaraja,nyongeza za mishahara na kuimarisha mahusiano ya Tz na mataifa mengine...FDI imepanda maradufu tangu achukue kiti....pesa zimerudi mitaani bila kuathiri serikali kutekeleza miradi yake

Mnaosema uyu mama hatoshi toeni sababu zenye mashiko msilete maneno ya kuokota tu.

Jiwe pamoja na uzuri wake pia alikua na kasoro nyingi sana sina haja ya kuzitaja
Tunachomlalamikia mama ni
1)Kulegeza/kutokuwepo na udhibiti wa matumizi ya pesa za serikali, viongozi, wanasiasa na wetendaji wengi wanatumia pesa katika safari na mikutano isiyo na tija. Mama amekua ni "role model " wao katika hili, viongozi wameanza kupishana Airports Kama enzi za Kikwete, Haina maana yoyote ya kukusanya pesa nyingi bila kudhibiti matumizi.

Niliwahi kuishi na rafiki yangu muhindi hapo Dar, alikua akiniambia hivi" You know what Joto la jiwe, we Indians do make money, equally you Africans do make money too, the difference is on expenditures, Africans do spend money very very unnecessarly".

Ukweli ni kwamba, uongozi wa SSH hauna nidhamu yoyote katika kudhibiti matumizi ya pesa za umma. Yeye mwenyewe Amekua ni mfano wa hovyo katika hili, watu hawaogopi tena kuchota pesa za umma na wakurugenzi kujinunulia magari ya thamani, Kuna mkurugenzi wa Halmashauri Moja alijinunulia bastola yenye thamani ya Tshs.3M kwa kutumia pesa za Halmashauri.
 
Kuna kitu kinaitwa budget, hauwezi kutumia pesa ambayo haujaiundia budget...na budget za vikao ama warsha hazitakiwi kuzidi budget za maendeleo...
Nakupa mfano mmoja..
Ofisini kwetu kwa mwaka tunabudget ya sh 120M .50% inaenda kwenye dawa na vifaa tiba, kuna 15%ya posho including vikao nk,kuna pesa ya matengenezo na matumizi mengine ya ofisi.

Kwa taarifa tu mi nafahamu wakuu wa idara wanne wameshaliwa vichwa ndani ya utawala wa huyu Pres, ukitaka kuliwa kichwa kirahisi we tumia fedha nje ya utaratibu tu..

Sasa nipe faida za raisi kutokusafiri nje chukulia mfano wa JPM na hasara za raisi kutoka...

Watu tunaitwa calls hatulipwi,tunafanya kazi overtime hatulipwi bahati mbaya sisi wenye night labda wale wanaopiga 8good hours hawawezi kujua haua mambo..Unafanya kazi resources chache na bado watu wanapiga kelele tu,baada sasa ya kuambiwa tuanze kulipwa ndio mnaona ni kitu kigeni au favor?kweli watz bado tupo gizani sana,Huu umaskini wetu ni wa hatari mno

Hauwezi kufanya kazi tu kuna wakati lazima mkasome vitu vipya ama mkutane kama viongozi muelekezane mambo ya muhimu...
 
Back
Top Bottom