game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,053
- 26,331
Nyinyi watanzania huwa wajinga sana, yani Kenya tukijenga kitu eti tumocopy. Ebu nieleze nini hapo Bongo mmejenga chenye hakijawai jengwa mahali kwengine? Hivi hamuoni Africa sote tunacopy tu vilivyo kwengine? Mbona mnakua wanafiki hivi?
Shida yenu mnacopy halafu mnaharibu



Juakali republic
