Most countries in sub-Saharan Africa have done those or are working on them, lakini wapi, sasa wazembe ukiwatengenezea barabara na akili zimezima unategemea mabadiliko gani?, population kubwa pato kidogo, change will take ages, for a fast change as Tz u will need software change, yaani mindset shift ya mibongolala..., reasoning ya wenzako wengi humu ni dhihirisho u have a long way to go..,Kuondoa watu kwenye umaskini si Dhana nyepesi kama unavyodhani...
Naona serikali imeondoa karo kuanzia primary hadi advanced level...hapo tayari mtoto wa masikini anaweza kusoma ni yeye tu kupambana (illiteracy itapungua)
Uyo masikini amejengewa disp ili akiugua aweze kupata huduma ya matibabu ambapo endapo angeikosa labda angekufa kwa malaria ama pneumonia...(life expectancy itaongezeka)
Miundombinu ya msingi inaboreshwa kama barabara za lami ama zege hapa kuongeza uhakika wa kufanya biashara na kusafiri( income itapanda ya m2 m1 m1)
Muhimu zaidi ni kutafuta investors ili expert wapate ajira rasmi wale ambao government haiwezi kuwaajiri apa ni katika kupunguza (unemployment)
Naona kama watakazana vizuri tutafika tu pazuri considering pop growth ni 3% na gdp growth ni 5%
Manake hata kenya pia ni waathirika usisahau iloMost countries in sub-Saharan Africa have done those or are working on them, lakini wapi, sasa wazembe ukiwatengenezea barabara na akili zimezima unategemea mabadiliko gani?, population kubwa pato kidogo, change will take ages, for a fast change as Tz u will need software change, yaani mindset shift ya mibongolala..., reasoning ya wenzako wengi humu ni dhihirisho u have a long way to go..,
😂😂😂😂😂😂💯Most countries in sub-Saharan Africa have done those or are working on them, lakini wapi, sasa wazembe ukiwatengenezea barabara na akili zimezima unategemea mabadiliko gani?, population kubwa pato kidogo, change will take ages, for a fast change as Tz u will need software change, yaani mindset shift ya mibongolala..., reasoning ya wenzako wengi humu ni dhihirisho u have a long way to go..,
Unacheka nn ?iyo ni kitu ya kuchekesha..?
haya yote kuhusu kenya uliyajulia wapi? 🤷🏽♂️🤔🤔Hili ndio tatizo lenu wakenya, mbona Uhuru Kenyatta alipokwenda Jamaica na Barbados alikodi Gulf stream ya pesa nyingi hakutumia ndege yake chakavu? Muda mwingi mnadhani mkifanya jambo n8 sahihi.
Kwa taarifa yake, Kenya inapoteza pesa nyingi kugharamia gharama za viongozi kuliko nchi yoyote hapa Africa
Sisi Tanzania tunamlalamikia rais wetu kwa tabia yake ya kupenda kusafiri Sana, wewe unashabikia ununuzi wa ndege ya rais ili aendelee kuzurura duniani, ndio sababu Rutto alitembelea nchi 5 ndani ya wiki mbili tangu kuapishwa kwake na bado mnamsifia. We are different indeed
I'm pretty sure they have all the numbers, just because you didn't see a complete report here or on twitter, doesn't mean its not there.
Its true what he has said, watanzania wa hapa jamii forums wana akili na reasoning za kipuzi sana. Like small kidsUnacheka nn ?iyo ni kitu ya kuchekesha..?
Kuna wakati wazeni branding,Ndege yetu ya Rais ni ndogo kulinganisha na clue nzima.Pia ulimwengu unapaswa kujua kua Africa inapiga hatua sio Kila siku kujionesha Nini maskini.Tunahitaji kuwaza makubwa zaidi.Muhimu ni kama ziara itakua na faida kwetu.Kumbuka Kuna bidhaa sisi hatuna bilateral Agreement tukiipata hiyo gharama za Ndege zinakua ndogo sana Leo wakenya watumia parachichi yetu kujinufaisha china cause we don't have Export Agreement na china kwenye Hil😵utcome ya ziara ndio ituambia tunafaidika au laNdege ya rais ipo na inafika popote duniani hapa, ni inferiority complex tu ilimsumbua.
Tuonyeshe faida vs gharama za safari za SSHWewe Mzee ulikuwaga vuvuzela na muwashiwashi Sana wa SSH,naona baada ya kupigwa chini kwenye uteuzi unafanya maigizo Sana..
Kwa Taarifa Yako hakuna ziara ya Mama amefanya Nje ya Nchi ikaleta hasara kuliko costs anazotumia kwenye safari zake..
Mathalani alipokwenda Marekani kuzindua Royal tour tumeona Watalii wa kigeni wengi wao Sasa wanatoka Marekani na pia tulipata soko la kuuza processed korosho na tayari uuzaji wa kwanza umeanza![]()
Jengo la abiria la T2 litakarabatiwa na hao wafaransa..Tuonyeshe faida vs gharama za safari za SSH
1)USA
2)Ufaransa
3)Dubai
4)West Africa
5)Oman
Wacha kuimba pambio
1.Faida ya USA tayari nimeeleza hapo juu sirudii..Tuonyeshe faida vs gharama za safari za SSH
1)USA
2)Ufaransa
3)Dubai
4)West Africa
5)Oman
Wacha kuimba pambio
Km on papers, Mna kilometers nyingi wakati 60% ya Kenya ni unaccessible?
Hivi kila safari ya Rais basi analazimika kuelezea faida tutazopata kama nchi? Hii taasisi ya uRais mnaichukuliaje lakini? 🤔Tuonyeshe faida vs gharama za safari za SSH
1)USA
2)Ufaransa
3)Dubai
4)West Africa
5)Oman
Wacha kuimba pambio
Unaongea mambo tofauti na tunayohoji hapa, hatujasema hatujui alichoenda kufanya bali tuna ask why aende na dege kubwa vile mtu mmoja na baadhi ya watu wawili wa tatu? Kulikuwa na ulazima gn afanye hivyo wkt ndege ya Rais nzr ipo na tuliinunua kwa mabilioni ya shilingi?Kuna wakati wazeni branding,Ndege yetu ya Rais ni ndogo kulinganisha na clue nzima.Pia ulimwengu unapaswa kujua kua Africa inapiga hatua sio Kila siku kujionesha Nini maskini.Tunahitaji kuwaza makubwa zaidi.Muhimu ni kama ziara itakua na faida kwetu.Kumbuka Kuna bidhaa sisi hatuna bilateral Agreement tukiipata hiyo gharama za Ndege zinakua ndogo sana Leo wakenya watumia parachichi yetu kujinufaisha china cause we don't have Export Agreement na china kwenye Hil😵utcome ya ziara ndio ituambia tunafaidika au la
Heshima tunayoipata china ni kubwa sana 👇.