babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Naona wakunya wameanza kuexport ujambazi.
Mikataba mbalimbali 🥤
Mikataba mbalimbali 🥤
What do you mean by “free investments?”Hawa wachina ni ndugu zetu wa damu kabisa .. ningekua mimi ndio Rais ningewapa maeneo (sio kuwauzia kabisa) wafanye free investments kwenye miradi yenye tija kwa taifa
Nimeshindwa kuelewa hata mimiWhat do you mean by “free investments?”
Siyo tuu ni ongezeko la 1mil bali ni ongezeko la 67.7%Ongezeko la watu mkoani DODOMA ni kubwa sana 👇View attachment 2403478ongezeko la watu milioni moja in just 10 good years ..
Mkuu Dar es Salaam kiographia ni ndogo lakini inahudumia na vitongoji vyake.Mtu mchana Yuko Dar usiku pwani au yuko pwani mchana usiku yupo Dar es Salaam.Ndio maana mtu aliyejenga bagamoyo,Mkuranga,kibaha,kisarawe au kiluvya hata ukimwuliza anakwambia anaishi Dar maana hata huoni mpakaDar es Salaam province has only 5.3 million people?
Na mbona huwa tunadhani Nairobi has the lower population.
Wider Nairobi (Nairobi metropolitan) has 9.3 million people.
na ntazidi kurudia na kurudia hili satellite image, hadi kile siku kitaeleweka👈🏽
heb rudia ulicho kurupuka
View attachment 2404425View attachment 2404424
Hivi Dar yote imetoshana in population na Nairobi City Proper na bado mnasema ndio jiji kubwa EA considering 40% of Nairobi Metro population wako nje ya Nairobi proper?Aisee, Mwanza hata baada ya kumegwa megwa bado ni ya pili. Mbeya ilikuwa na watu wengi zamani ila baada ya kumegwa idadi ya watu imepungua sana.
but this is a level playing field. no bias of any kind whatsoever..Wee hiki unachoonesha ni kidudu gani¿¿¡¡
Vidude vya open source hatuvitaki. Tunataka vitu licenced, fhd, high resolution, clear perception etc.
but this is a level playing field. no bias of any kind whatsoever..
better still I ll bring a higher resolution at a closer altitude to satisfy your quest
'Google Earth at Night' ni kitu cha kuokoteza kweli? this is a very reliable and authentic source tht even Nasa or US Marines would use it, to map out eastern africa even at this momentUnasikia bwana mdogo, unapoleta facts hapa hatutaki vitu vya kuokoteza okoteza hapa.
Acha porojoThere are very few residential highrises in Tanzania. Mingi ni nyumba tu ovyo moja moja bila ghorofa.
Kenya is the opposite. Residential flats with tens of houses are the norm in all towns, big and small.
So, I expect our buildings count is lower.
Wait iyo estate inaidadi gani ya watu?na tunajua Runda ni kwa wadosi hawawezi fika hata 10K naguessMbona huwa mnashindwa kuelewa vitu rahisi? Nairobi city limits are tiny, 696 sq. km. But the built up area of Nairobi metropolis is the largest in East Africa and only smaller than Gauteng in SA, Lagos in Nigeria, Kinshasa in DRC and Cairo in Egypt. Half of Nairobi City population live outside the City Proper boundaries. When they say people come from out of Nairobi to work in Nairobi they mean from within Nairobi Metro. Let me give you an example, a half of Runda Estate is outside Nairobi, the Crystal Rivers mall that someone posted is outside Nairobi boundaries but people who live in these areas consider themselves Nairobians. Understood?
Runda
![]()
![]()
![]()
Crystal Rivers
![]()
Na nairobi 60% haijajengwaHivi Dar yote imetoshana in population na Nairobi City Proper na bado mnasema ndio jiji kubwa EA considering 40% of Nairobi Metro population wako nje ya Nairobi proper?
We jamaa vp,we kule kwao unaweza pewa nn for free?Hawa wachina ni ndugu zetu wa damu kabisa .. ningekua mimi ndio Rais ningewapa maeneo (sio kuwauzia kabisa) wafanye free investments kwenye miradi yenye tija kwa taifa