Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thaman ya hela ya ghana inazid kuporomoka kwa kasi
Screenshot_20221031-221503_Google.jpg

Tofauti ya idadi ya watu Dar na mji unaofuata ni watu million 1 (interesting) kunyaland idadi ya watu Nairobi na Mombasa tofauti yake ni zaidi ya watu million 3 hii inaonesha namna Nairobi ilivyo the last hope for kunyalanders na namna counties nyingine zilivyo hovyo!
Mim naangalia ishu ya uchaguzi.. kanda ya ziwa na Dar ndo wa kuamua upepo wa mgombea rais 😄..
Next thing, nimeshangaa kutoona 'majiji' ya Arusha na Mbeya kwa list. Kwa mbeya, labda kwa vile imetoa mkoa mwingine wa Songwe.
La kuongezea, dodoma mama etu ana kazi sana, watu hawamuelewi huko dodoma lbda mawaziri
 
Yani Mnuka mavi masaa yote unakesha kui disgrade Tz ukidhani ndio utaepuka maumivu

Hata ufanyeje huwezi kufuta ukweli huu.

Tanzania ndiyo nchi ya kwanza EA kuwa na BRT system. (Hakuna nchi itakuwa na BRT system hapa EA zaidi ya Tz kwa miaka 100 ijayo)

Tanzania ndiyo nchi ya kwanza EA kuwa na electrifitried SGR.

Tanzania ndiyo nchi ya kwanza EA kuwa na cable stayed bridges.

Tanzania ndiyo nchi ya kwanza EA kuwa na 3level interchange.

Tanzania ndiyo nchi yenye modern and biggest Airpot in EA.

Tanzania ndiyo nchi yenye modern and biggest stadium in EA.

Tanzania ndiyo nchi yenye masoko ya kisasa zaidi EA.

Tanzania ndiyo inayoilisha Kenya na nchi nyingine maskini hapa EA.

Tanzania ndiyo the biggest source of remittance for Kenyans.

Tanzania ndiyo the biggest source of Kenyan tourism receipts ni nchi ya pili ukitoa Uganda.

Tanzania ndiyo nchi itakayokuwa na mji wa kisasa zaidi hapa EA (Dodoma).

Tanzania ita supply umeme kule Kenya watake wasitake, nchi inayouza umeme kwa jirani ni sawa na kuitawala nchi hiyo.

Tanzania inaenda ku supply gas kule Kenya.

Mambo ni mengi mno but baadhi ni hayo, so ni halali yako mnuka mavi kutapa tapa mana hakuna namna unaweza kuepuka hayo zaidi ya kuondoka jamiiforums
naona unajaribu, kuji console kwelikweli..

hivi, nimetumia hii takwimu kama mfano moja tu.

unajua kenya inaizidi tz kwenye kila takwimu kwenye kila sekta. ata hadi mapato kwenye sekta ya kilimo.

heb nioneshe ata ranking moja, tz iko mbele ya kenya.
coz aky walai✋🏽 mi sijaai ona.. na kama iko!.. leta!

mfano moja tu hii👇🏽 ya takwimu zaidi ya mia moja [>+100]
Screenshot_20221031-221434_Gallery.jpg
 
naona unajaribu, kuji console kwelikweli..

hivi, nimetumia hii takwimu kama mfano moja tu.

unajua kenya inaizidi tz kwenye kila takwimu kwenye kila sekta. ata hadi mapato kwenye sekta ya kilimo.

heb nioneshe ata ranking moja, tz iko mbele ya kenya.
coz aky walai mi sijaai ona.. na kama iko!.. leta!

mfano moja tu hii ya takwimu zaidi ya mia moja [>+100]View attachment 2403428
tapatalk_1597755769639.jpg
tapatalk_1599739866174.jpg
tapatalk_1595968449233.jpg
tapatalk_1599200704754.jpg
tapatalk_1595322497268.jpg
tapatalk_1595576872372.jpg
tapatalk_-1313145361_720x645.jpg
Screenshot_20220614-185219.jpg
tapatalk_1599200068181.jpg
tapatalk_1599200199150.jpg
tapatalk_1599201728638.jpg
Screenshot_20220607-073506.jpg
 
Tofauti ya idadi ya watu Dar na mji unaofuata ni watu million 1 (interesting) kunyaland idadi ya watu Nairobi na Mombasa tofauti yake ni zaidi ya watu million 3 hii inaonesha namna Nairobi ilivyo the last hope for kunyalanders na namna counties nyingine zilivyo hovyo!
Lakini pia ukumbuke kuwa mikoa ya Tanzania yenye Idadi kubwa zaidi ya watu ukitoa Dar labda na Mwanza Ndio inayoongoza Kwa umasikini. Trends za higher birth rates kwenye hii mikoa ni kubwa sana lakini maisha ni Magumu pia, welfare iko chini. Sio jambo la kujivunia.
 
Mim naangalia ishu ya uchaguzi.. kanda ya ziwa na Dar ndo wa kuamua upepo wa mgombea rais 😄..
Next thing, nimeshangaa kutoona 'majiji' ya Arusha na Mbeya kwa list. Kwa mbeya, labda kwa vile imetoa mkoa mwingine wa Songwe.
La kuongezea, dodoma mama etu ana kazi sana, watu hawamuelewi huko dodoma lbda mawaziri
Kwenye angle ya kisiasa hakuna huyu mama anapokubalika hata sehemu 1,ni ukweli unavyosema Dodoma ndio hawataki hata kumuona, mikoa ya Lake Zone ipo hapo juu kuanzia Mwanza, Tabora, Geita (Kagera na Mara) hatoboi hata hivyo wenye ccm yao nao hawamwelewi kumbuka fununu za waziri anaeutafuta urais 2025
 
Sasa anaangalia akiona mtu anaanza kushine mahali anamtoa au kumbadilishia kituo au wizara, yaani anawaza uraisi kweli.
Kawatuma kina Kinana, Vice President na Prime Minister kwenda kupima upepo mwanza
 
Sasa anaangalia akiona mtu anaanza kushine mahali anamtoa au kumbadilishia kituo au wizara, yaani anawaza uraisi kweli.
Kawatuma kina Kinana, Vice President na Prime Minister kwenda kupima upepo
Wanamdanganya sana wanaomshauri kwamba anaweza kuwa rais wa kuchaguliwa, hana mvuto hana nyota kabisa huyu mama.
 
Wanamdanganya sana wanaomshauri kwamba anaweza kuwa rais wa kuchaguliwa, hana mvuto hana nyota kabisa huyu mama.

Mama intellectually ni zero!

Walimwaribia kwa kumpanga amponde Magufuli jambo ambalo limwebackfire mno, ukijumlisha na style ya uongozi ya Vijana wa Mjini wakina Makamba na Nape wanavyoharibu, ukicheki Nchemba nae wote hawa wamemvuruga mama kwa mno. Lipo lipo tu na Ushungi wake, ngoja aone come 2025!
 
Mim naangalia ishu ya uchaguzi.. kanda ya ziwa na Dar ndo wa kuamua upepo wa mgombea rais 😄..
Next thing, nimeshangaa kutoona 'majiji' ya Arusha na Mbeya kwa list. Kwa mbeya, labda kwa vile imetoa mkoa mwingine wa Songwe.
La kuongezea, dodoma mama etu ana kazi sana, watu hawamuelewi huko dodoma lbda mawaziri

Hizi statistics ni za idadi ya watu kwenye kila mkoa, sio majiji. Arusha, Shinyanga, Mbeya na Kilimanjaro, ambayo yote iko kwenye top 10 ya mikoa yenye GDP kubwa zaidi, haipo kwenye hii list ya top 10 ya mikoa yenye population kubwa zaidi. Kwa hiyo mikoa Mingi yenye watu wengi Ndio yenye kipato cha chini na yenye ongezeko kubwa zaidi la watu. Sio jambo Zuri.
 
Back
Top Bottom