Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi metropolitan ni CBD yenu, unataka kusema kile kieneo finyu vile kina watu idadi hiyo? Ndio maana mna slums kila angle
Metropolitan covers the estates and surrounding areas, where they look towards Nairobi for business.
CBD and the 2 business districts of Westlands and UpperHill are a part of it, but not the only part of it.
 
Ukiachana na njaa pia Kenya haifikiki haina miundombinu, inashangaza kuona mkitumia helicopters kufika kwenye counties ndani ya Kenya sababu hakuna barabara za kufika huko, Tanzania kubwa mara 2 yenu hakuna wilaya isiofikika kwa gari.

Barabara tunajengea watu, sio ardhi. Priority inapewa kule watu wanaishi.
Despite our small size, we still have more KM than you.
 
Therefore your leaders are stupid people than you, they know nothing about the problem of hunger in Kenya, because they are requesting international community to donate food instead of improving your logistic chain

Priority is developing where people live first.

Kwanini tujenge barabara itakayo tumika na watu wachache na ngombe zao, na kuna watu mamilioni ambao bado hawana?
We don't have unlimited resources. Wangoje ama wahame.
 
🤣🤣🤣 Twende taratibu, wachana na mambo ya households, mimi huo nilishatoka kitambo, kwasasa nazungumzia majengo/ Nyumba ambapo namba za Tz ni hizi hapa 👇View attachment 2404194

There are very few residential highrises in Tanzania. Mingi ni nyumba tu ovyo moja moja bila ghorofa.
Kenya is the opposite. Residential flats with tens of houses are the norm in all towns, big and small.

So, I expect our buildings count is lower.
 
infact the case is vice-versa...
since tanganyika is a 'Communist State' its us the capitalists who we could be learning frm them (socialists) how to build Highrise Residential Flats, like the way they do it in russia and china, since they are all ujamaa cohort states.
nb: building single units, eats resources, hence a waste of time, space and money in doing inventory, access roads, waste management, sewerage, electrification, waterpiping, and wht have u

a concept like this in eldoret for instance, does better interms of resource utilization ×10fold👇🏽
20221009_113847.jpg
20221025_091022.jpg
20221009_113839.jpg
 
Ndo najaribu kumwelezea huyo mwenzako kwamba takwimu anazopost za kenya ni za dwelling houses, alafu analinganisha na majengo yote Tanzania ambavyo haifai kulinganishwa!
Nakupa nafasi ya kukadiria, Kati ya majengo 14+ million, nyumba za makazi zinaweza kuwa ngapi.? Na majengo mengine kwa matumizi mengine yanaweza kufika mangapi.?

Kwangu mimi nakwambia majengo mengine tofauti na makazi in Tz ni less than 1 million ..
 
Niliambiwa sababu mojawapo ya kwann Nairobi inajaa sana watu asubuhi na foleni ni kali sana jioni ni kwamba watu wengi wanaenda kanairo kufanya kazi wanaishi mikoani...mtu anatoka nakuru anaenda Nairobi kubangaiza jioni anageuka...sasa maeneo mengi ya jirani wanategemea Nairobi

Unlike dar watu huenda kufuata biashara na kugeuka ,wanaobangaiza wanaishi palepale mjini
Mbona huwa mnashindwa kuelewa vitu rahisi? Nairobi city limits are tiny, 696 sq. km. But the built up area of Nairobi metropolis is the largest in East Africa and only smaller than Gauteng in SA, Lagos in Nigeria, Kinshasa in DRC and Cairo in Egypt. Half of Nairobi City population live outside the City Proper boundaries. When they say people come from out of Nairobi to work in Nairobi they mean from within Nairobi Metro. Let me give you an example, a half of Runda Estate is outside Nairobi, the Crystal Rivers mall that someone posted is outside Nairobi boundaries but people who live in these areas consider themselves Nairobians. Understood?

Runda
whwhwifqpezohi55ba12ae94b4f.jpg
CaptureZA-1024x576.jpg
Suraya-Four-Ways-Junction-u.jpg

Crystal Rivers
projects.jpg
 
infact the case is vice-versa...
since tanganyika is a 'Communist State' its us the capitalists who we could be learning frm them (socialists) how to build Highrise Residential Flats, like the way russians and chinese do it, since they are all ujamaa states.
nb: building single units, eats space, hence a waste of time, space and money in doing inventory, access roads, waste management, sewerage, electrification, waterpiping, and wht have u

a concept like this in eldoret for instance, does better interms of resource utilization ×10fold👇🏽 View attachment 2404348View attachment 2404353View attachment 2404349
Vimiradi vya hivi vipo DODOMA hata kabla haijaanza kujengwa kama makao makuu ya nchi .. medeli 👇
FB_IMG_1665264482209.jpg
 
Mbona huwa mnashindwa kuelewa vitu rahisi? Nairobi city limits are tiny, 696 sq. km. But the built up area of Nairobi metropolis is the largest in East Africa and only smaller than Gauteng in SA, Lagos in Nigeria, Kinshasa in DRC and Cairo in Egypt. Half of Nairobi City population live outside the City Proper boundaries. When they say people come from out of Nairobi to work in Nairobi they mean from within Nairobi Metro. Let me give you an example, a half of Runda Estate is outside Nairobi, the Crystal Rivers mall that someone posted is outside Nairobi boundaries but people who live in these areas consider themselves Nairobians. Understood?

Runda
whwhwifqpezohi55ba12ae94b4f.jpg
CaptureZA-1024x576.jpg
Suraya-Four-Ways-Junction-u.jpg

Crystal Rivers
projects.jpg
Wacha kujiongopea mzee.. the built up area in DAR ni hizo km2 zote 1600 .. inawezekana mnatuzid kwenye kuwa na apartments nzuri ila sio kwa eneo lilijengwa mzee, DAR yote imejengwa hadi kila kona ya mpaka wake na Pwani region.
 
It's not, not even close. Trust me.
 
You wish.
Your second biggest city, Mwanza, would be number 5 or 6 in Kenya.
i concur. that's very true basing on this satellite image at night 2021.
japo hawa watu watapinga, lakini huo ndo ukweli wa mambo...
naxar inakunja rockcity atleast by ×1.5fold. then no significant difference with kisumu or eldoret with mwanza 🤣🤣

mwanza could be No 4or5 in kenya

Screenshot_20220808-062606_Earth.jpg
 
Home Owner inamaanisha nyumba ya kukaa na kulala, Jengo inamaanisha nyumba zote ukichanganya nyumba za biashara, viwanda, soko etc... Wewe uko na IQ gani
Yani watanzania hawaelewi kiswahili na ndio lugha wanaongea pekee? 😂😂😂😂 low IQ ni kitu kibaya sana
 
Mbona huwa mnashindwa kuelewa vitu rahisi? Nairobi city limits are tiny, 696 sq. km. But the built up area of Nairobi metropolis is the largest in East Africa and only smaller than Gauteng in SA, Lagos in Nigeria, Kinshasa in DRC and Cairo in Egypt. Half of Nairobi City population live outside the City Proper boundaries. When they say people come from out of Nairobi to work in Nairobi they mean from within Nairobi Metro. Let me give you an example, a half of Runda Estate is outside Nairobi, the Crystal Rivers mall that someone posted is outside Nairobi boundaries but people who live in these areas consider themselves Nairobians. Understood?

Runda
whwhwifqpezohi55ba12ae94b4f.jpg
CaptureZA-1024x576.jpg
Suraya-Four-Ways-Junction-u.jpg

Crystal Rivers
projects.jpg
Yani muishinde Dar kwa built up area kwa hivi vi estate mnavyokesha mkipost kila siku hivi hivi tangu 2017? Mnaumwa nyinyi.
 
Back
Top Bottom