Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kakamega county is almost 6 times larger to Mombasa county.. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ unajifanya hulijui hilo.? ๐คฃ๐คฃView attachment 2404199
Kwa akili yako Kakamega iko na majengo zaidi ya Kisumu ama Mombasa or Nakuru na Nairobi.., kwa vile naona inasema Kakamega county leads with 369,976 ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ., unalinganisha majengo na idadi ya umiliki, yaani wewe leo umekua zwazwa zaidi, yaani ni uzezeta unaleta humu eti ndio data ya majengo ya Kenya, ujinga mzigo๐๐๐๐๐๐๐๐..,
Yaani Kiambu tu ata usiseme..,
wacha niende zangu niko na shughli sehemu...,