Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi umuhimu wa hizi malls katika nchi yenye matatizo mengi ya msingi vijijini ni upi?. Hizi malls ni kwa akili ya "upper &middle classes ambao ni city dwellers, 80% ya wakenya wanaishi vijijini, hizi malls zinawasaidiaje?
So zisijengwe wewe kilaza? Kenya sio Tanzania ya Dar.., we have malls in village towns it's now a Kenyan culture., kwenu ni anasa, sehemu ya matajiri.., kwanza hii ya Eastleigh tajiri mgani Kenya ataenda kule?.., hii ni ya raiya wa kawaida, targeting businesses za Eastleigh na supermarkets, the rich don't go to Eastleigh bana, and rich neighborhoods ziko na malls zao.., koma kuangalia Kenya kupitia poverty lenses za Kitanzania, yaani stop projecting your poverty and limitations on us..,
 
Kaa kimya, huna unalolijua kuhusu huu utaalam.

Wee endelea kukaa huko gologocho.
Ukweli ndio hampendi ila liko wazi.., ufukara kwa sasa is your middle name for many years to come, all factors remaining constant..,
 
So zisijengwe wewe kilaza? Kenya sio Tanzania ya Dar.., we have malls in village towns it's now a Kenyan culture., kwenu ni anasa, sehemu ya matajiri.., kwanza hii ya Eastleigh tajiri mgani Kenya ataenda kule?.., hii ni ya raiya wa kawaida, targeting businesses za Eastleigh na supermarkets, the rich don't go to Eastleigh bana, and rich neighborhoods ziko na malls zao.., koma kuangalia Kenya kupitia poverty lenses za Kitanzania, yaani stop projecting your poverty and limitations on us..,
joto la jiwe umepiga kwenye mshono kuja umalizie, hii kenge inakuogopa mno
 
Mumefumaniwa na censor report, tulia ukweli ukuingie hadi kwa mishipa.., tokea sasa kuenda mbele hamna la kusema, facts have strangled u kabisaa.., mmenyongwa kabisaa sasa nikulia lia tu, mifukara kila eneo😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ni utahira kuzungumza vitu usivyovijua mzee
 
Ukweli ndio hampendi ila liko wazi.., ufukara kwa sasa is your middle name for many years to come, all factors remaining constant..,

Sasa ndiyo unaongea nini!?
Ndiyo ubaya wa kuongea na mtu mwenye njaa. Kwanza nenda ukale ndiyo ukuje kuongea.

hii stima bhana........! hii stima inaniangusha bhana...... since 9 mpaka sahizi maze!.
kplc you are not serious you guyz.
yani deal ningechora leo, am witnessing ikinipita tu ivo.. damn !!

kplc heb fanyeni ivo 😩
 
Wenzako wanafanya siri we unasanua
what am trying to insinuate at, is tht, rarely do we experience blackouts in kenya. may be only for today in 3-4months!

nb: the last tyme we experienced such kind of blackout tht lasted for atleast 9hrs or more was in 2017 ! tht impact also caused outage in uganda due sharing of regional grid line infrastructure

hivi kenya sio kama nigeria ama tanzania ambapo saa moja jioni ikifika ni tututututu........ kila mahali. yani generators kila corner because of rampant and constant blackouts tht can even last for upto 5days!..
 
Acha maneno mengi kijana
Don't run away from reality, kila kitu kiko wazi.., what magic or miracle will u conjure to lift majority Tanzanians out of extreme poverty.., especially multi-dimension poverty that now is catalyzed by fast population growth yenye haiyambatani na GDP growth na delivery of social services to meet their needs.., hapa pengine GDP yenu ifikie ya Nigeria lakini population yunu ibakie chini ya 100 million.., ina maana ceteris paribus (all factors remaining constant) ufukra utabakia wimbo kwa miaka mingi.., more of uswazi standard housing and living will be with you for long..,
You can even read the today's OPED in your Citizen newspaper.., food for thought.

Back
Top Bottom