ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,064
- 3,216
Alafu walivyo pambafu wanaandika 88 kutishia dunia kama 88 fl ongezeni na mlingoti ifikie hapoGhorofa zote za wahindi na waarabu hizi 😂😂😂😂
Alafu walivyo pambafu wanaandika 88 kutishia dunia kama 88 fl ongezeni na mlingoti ifikie hapoGhorofa zote za wahindi na waarabu hizi 😂😂😂😂
Ni sawa nimeipitia mchoro tena nimeona kutakuwa na vituo viwili cha ndani na cha nje pale opposite na gate la VIP mwanzoni nilifikiri kutakuwa na kituo kimoja tu maana ni pafupi sanaSkia mzee.Kwani eneo la JNIA Ndani,likiwa na kituo chake peke yake kuna ubaya gani.Ikiwa kama drop off centre ,ya watu wanaotaka kusafiri ?
Cha pili sio kwamba watu wa nje wanatoka kuja ndani kupanda ma bus,kuna kuwa na vituo viwili cha ndani na nje
Mtu hawezi kupanda BRT ashuke akokote mizigo hadi airport itakuwa jau zaidi
You are very right!Namaanisha kuwe na vituo viwili. Kimoja ndani ya Airport na kingine nje pale kwa ajili ya raia wa kawaida. Hata ruti za gari ziwe tofauti kabisa jama ilivyokuwa muhimbili vile.
So Kwa akili Yako unadhani GDP ya $67B ikigrow by 5% the result will be $75B-$77B? Did you really attend maths classes?Unaijua gdp yetu ya mwaka huu? Subiri World Bank next year watatoa...iko somewhere between $75B-$77B
After the current census your per Capita will be $1085.
Yani Mnuka mavi masaa yote unakesha kui disgrade Tz ukidhani ndio utaepuka maumivuAfter the current census your per Capita will be $1085.


























Bado wanaendeleza haya magari? Yanaitwa blow job 50, magari ya kichale sn haya na ndiyo magari pekee wanayounda Wakenya halisi ukiacha vile vigari wanavyo assemble foreigners













Umeandika kwa maumivu sana.Yani Mnuka mavi masaa yote unakesha kui disgrade Tz ukidhani ndio utaepuka maumivu
Hata ufanyeje huwezi kufuta ukweli huu.
Tanzania ndiyo nchi ya kwanza EA kuwa na BRT system.
Tanzania ndiyo nchi ya kwanza EA kuwa na electrifitried SGR.
Tanzania ndiyo nchi ya kwanza EA kuwa na cable stayed bridges.
Tanzania ndiyo nchi ya kwanza EA kuwa na 3level interchange.
Tanzania ndiyo nchi yenye modern and biggest Airpot in EA.
Tanzania ndiyo nchi yenye modern and biggest stadium in EA.
Tanzania ndiyo nchi yenye masoko ya kisasa zaidi EA.
Tanzania ndiyo inayoilisha Kenya na nchi nyingine maskini hapa EA.
Tanzania ndiyo the biggest source of remittance for Kenyans.
Tanzania ndiyo the biggest source of Kenyan tourism receipts ni nchi ya pili ukitoa Uganda.
Tanzania ndiyo nchi itakayokuwa na mji wa kisasa zaidi hapa EA (Dodoma).
Tanzania ita supply umeme kule Kenya watake wasitake, nchi inayouza umeme kwa jirani ni sawa na kuitawala nchi hiyo.
Tanzania inaenda ku supply gas kule Kenya.
Mambo ni mengi mno but baadhi ni hayo, so ni halali yako mnuka mavi kutapa tapa mana hakuna namna unaweza kuepuka hayo zaidi ya kuondoka jamiiforums![]()
Tanzania ni LDC kweli
Unajifurahisha na takwimu uchwara wkt mm naenda ground, kama una balls just deny what I said









Hii nchi tumeichoka kwa njaa, kuanzia asubuhi mpaka usiku wimbo ni huo huo njaa, drought, njaa, drought wakibadili wimbo ni magonjwa yn inakera sana. Wacha wafe tu mana ni wazembe sn, yn karne hii ya 21 bado wanaimba nyimbo za first world war? Dunia ya sasa imeshatoka huko, tumewaacha wao na kundi lao kina Afghanistan, Somalia n.k