Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is Tanzania still a lower middle income country? Considering the rapid rise in population relative to a slower economic growth? Does the new per capita income meet the threshold?
 
Tofauti ya idadi ya watu Dar na mji unaofuata ni watu million 1 (interesting) kunyaland idadi ya watu Nairobi na Mombasa tofauti yake ni zaidi ya watu million 3 hii inaonesha namna Nairobi ilivyo the last hope for kunyalanders na namna counties nyingine zilivyo hovyo!
Mombasa si mkoa wa pili kwa idadi ya watu chunguza vitu kabla ya kukurupuka, inakufanya uonekane mjinga
 
Tofauti ya idadi ya watu Dar na mji unaofuata ni watu million 1 (interesting) kunyaland idadi ya watu Nairobi na Mombasa tofauti yake ni zaidi ya watu million 3 hii inaonesha namna Nairobi ilivyo the last hope for kunyalanders na namna counties nyingine zilivyo hovyo!
uharo. fanya utafiti kabla ya kukuruka. rift valley ndo mkoa iliyo na idadi mkubwa zaidi

nb: tofauti ya idadi kati ya miji ya darslam na mji wa pili mwanza ni 5M!
ie. 5.5m na 540k! respectively

hii ni wewe👇🏽
Screenshot_20221101-093041_Chrome.jpg
 
Pumbavu, huoni credible sources hapo?
outdated., ni 2022.., fungua reports za sasa hivi., mko chini sana, ina maana hizo reports za hapo awali zilikua full propaganda zenye CCM walikua wamesambaza kwa vile tofauti na sasa ni kubwa..., just download all latest reports u see mahali mnawekwa, usiogope.., kisha idadi ya watu imeongezeka sana mikoa fukara fukara in TZ, sio sehemu zenye mchango kubwa kwa GDP yani multi-dimensional poverty is loading😂😂😂, mko hovyo sana, na idadi ya nyumba uchwara zimeongezeka, nilitaja humu hiyo ndio itaendelea kukua kwa kasi, mama Suluhu katangaza, unabii wangu umetimia(my projection was right thus my hypothesis has been proven right), GDP ndogo, mifukara imeongezeka, uswazi unatapakaa taifa nzima, balaa hii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
View attachment 2403498
Sisi Hatuwezi au ndio ile kasumba ya kubinafsisha tu.
Sijui kwa nini wamebinafsisha. Roho mbaya zimewajaa. Wanaona bora wageni waje kupiga hela wakati sisi wenyewe tungeweza. Hivi kuweka mfumo wa wazi weshindwa kabisa. Watu wakanunua mabasi wakatia kwenye mradi. Wao wanamanage kila kitu hela ya mtu mwisho wa siku inaingia benki. Kwa mfano tu!
 
Ila waafrika tutakuja kundelea ila kwa mbindee sana aise yani kila siku makongomano na mikutano ya serikali haisha ,hela nyingi zinapotea kwenye ushubwada alafu utekelezaji upo very slow au hakuna kabisa mambo haya yanakera mpaka basi


Kuna sehem nilisikia sijui alikuwa majaliwa au bashe.. alisema tusitumie hela kwenye seminars tuelekeze kwenye kusaidia wananchi...afu huku ndo wanapoiba hela kwa kulipana maposho makubwa
 
Kuna sehem nilisikia sijui alikuwa majaliwa au bashe.. alisema tusitumie hela kwenye seminars tuelekeze kwenye kusaidia wananchi...afu huku ndo wanapoiba hela kwa kulipana maposho makubwa
Wanaongea tuu ila utekelezaji ni zero , safari kibao za njee zisizokua na tija zile bilioni 5 aliyoaodiwa marekani zaidi ya mwaka umepita hamna kitu huyu makamba alitoa aadi kibao kuhusu suala la mafuta ila hamna hata kimojaa kilichotekelezwa yani mipango kibao ila kwa ground hatuoni kitu
 
Back
Top Bottom