Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Sisal, cloves n.k😂😂cash crops gani hiyo mnaongoza Afrika only,ata so dunia???
Sisal, cloves n.k😂😂cash crops gani hiyo mnaongoza Afrika only,ata so dunia???
Bado upo kwenye suala la households 🤣🤣🤣🤣 mimi niko hapa .. 👇Wewe haujielewi kabisaa, ata neno household haujui.., wacha nuikupatie summary ya 2019 census ya Kenya.., pole pole uwache kujitekenya..., kwa vile censer report yenu haijaonyesha number ya nyumba zinazomilikiwa na watanzania, imesema households ni 12.3 million.., Kenya ilisema household ni 12.2 million household.., kisha 7 million houses.., sasa ikija houses in Tz wewe unadhani inaweza kufika ata 10million? wacha kujitoa ufahamu dogo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2404147
View attachment 2404151
View attachment 2404155
View attachment 2404156
View attachment 2404157
View attachment 2404158
Screenshot ya links..,
View attachment 2404160
It will require software change ya raiya wenu...,Ni rahisi kupiga hatua kwa haraka kutoka hapo tulipo kulikoni safari iliotuchukua kufika hapa leo...miaka kumi ijayo tunaweza kua na per capita ya $ 3000> kutoka hapa tulipo sasa $1135
Alafu nyumba ya udongo pia ni household... Hizi takwimu hazimaanishi chochote!unajua maana ya neno household kweli? ama unadhani ni jumba haswa? yaani watu wa censor wakifika kwenye boma lenu, watalihesabu kama household moja.., ila pale kunaweza kukua na nyumba kadhaa, kwa mfano ya wageni, "simba" (cottage) ile ya vijana etc.., household sio jumba haswa dogo.., bana hizi aibu za kutokujua kisha unakurupuka punguza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2404082
yaani nyoote ni zwazwa ata mchapishaji wa hili👇👇 eti idadi ya majengo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2404080
Hapa haijaingizwa households 👇Alafu nyumba ya udongo pia ni household... Hizi takwimu hazimaanishi chochote!
Serekali ya Kenya inatambua household kama mahali watu wanapo pika pamoja, yani kama unajengo lenye room tatu lakini mnapika kwa pamoja basi hio ni 1 household, lakini kama kila mtu anapika kivyake basi hio ni 3 households.... Haijalishi kama jengo hilo limejengwa na mawe au udongo, bora kuna paa basi ni household....
sasa WWE 💩Hizo mashamba za cash crops are they Kenyan owned .? 🤣🤣 Una brag kuzalisha cash crops while huna chakula, what kinda people are you.? Si ni ukichaa
Home owner na idadi ya majengo vinahusiana vipi mzee, duh!Bado upo kwenye suala la households 🤣🤣🤣🤣 mimi niko hapa .. 👇View attachment 2404168vs 👇View attachment 2404169hii sio idadi ya households, ni idadi ya majengo au Nyumba mzee, usijifanye Hujui kiswahili 🤣🤣🤣🤣
Unajaribu kukimbia 🤣🤣🤣 hao home owners ndio wanawakilisha kila nyumba iliyopo hapo Kenya..Home owner na idadi ya majengo vinahusiana vipi mzee, duh!
Home Owner inamaanisha nyumba ya kukaa na kulala, Jengo inamaanisha nyumba zote ukichanganya nyumba za biashara, viwanda, soko etc... Wewe uko na IQ ganiUnajaribu kukimbia 🤣🤣🤣 hao home owners ndio wanawakilisha kila nyumba iliyopo hapo Kenya..
Hujui kusoma au.? 🤣🤣👇Home Owner inamaanisha nyumba ya kukaa na kulala, Jengo inamaanisha nyumba zote ukichanganya nyumba za biashara, viwanda, soko etc... Wewe uko na IQ gani
Duh kutraslate kizungu to Kiswahili ndo kimewachanganya mtu amebakia akiongelea vitu viwili tofauti kabisa...Sasa nimekuelewa mtazamo wako.., hatupatani wewe unaongelea majengo na mimi naongelea home ownership.., ama pia rais wenu mama Samia alitafsiri visivyo, kwa vile report inasema household yeye akanukuu eti majengo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂, yani nyote tokea rais hadi wewe ni zwazwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 .., majengo na home ownership ni vitu viwili tofauti dogo.., hiyo haimaanishi ndio idadi ya majengo, ata mtu mmoja anaweza kumiliki nyumba kumi ila yeye anajumuishwa kama one home owner..,
View attachment 2404183
🤣🤣🤣 Twende taratibu, wachana na mambo ya households, mimi huo nilishatoka kitambo, kwasasa nazungumzia majengo/ Nyumba ambapo namba za Tz ni hizi hapa 👇Sasa nimekuelewa mtazamo wako.., hatupatani wewe unaongelea majengo na mimi naongelea home ownership.., ama pia rais wenu mama Samia alitafsiri visivyo, kwa vile report inasema household yeye akanukuu eti majengo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂, yani nyote tokea rais hadi wewe ni zwazwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 .., majengo na home ownership ni vitu viwili tofauti dogo.., hiyo haimaanishi ndio idadi ya majengo, ata mtu mmoja anaweza kumiliki nyumba kumi ila yeye anajumuishwa kama one home owner..,
View attachment 2404183
Kenya sijaona data ya nyumba, ama wewe uko nayo?.., nilikuelezea hiyo ni debate nyingine tofauti..,🤣🤣🤣 Twende taratibu, wachana na mambo ya households, mimi huo nilishatoka kitambo, kwasasa nazungumzia majengo/ Nyumba ambapo namba za Tz ni hizi hapa 👇View attachment 2404193
Hii nimeisave, ntakuja nikuonyeshe takwimu zenu hapo ndo utaanza kulia ukigundua wewe ndo ulikua unaleta ushahidi utakaotumika kukunyonga mwenyewe..Hujui kusoma au.? 🤣🤣👇View attachment 2404186
🤣🤣🤣 Data zenu ni hizi census report 2019 👇Kenya sijaona data ya nyumba, ama wewe uko nayo?.., nilikuelezea hiyo ni debate nyingine tofauti..,
Utahangaika wapi na data zetu hizi apa 🤣🤣🤣👇Hii nimeisave, ntakuja nikuonyeshe takwimu zenu hapo ndo utaanza kulia ukigundua wewe ndo ulikua unaleta ushahidi utakaotumika kukunyonga mwenyewe..
Huyu ni zuzu, kwa akili yake inamaanisha Kakamega iko na majengo mengi kushinda Nairobi..., Kakamega 363,381, Nairobi 138,976 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Home Owner inamaanisha nyumba ya kukaa na kulala, Jengo inamaanisha nyumba zote ukichanganya nyumba za biashara, viwanda, soko etc... Wewe uko na IQ gani