Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya has a logistics problem, not a food problem.
Majority of those in hunger have refused to civilize and live next to population centres.
Therefore your leaders are stupid people than you, they know nothing about the problem of hunger in Kenya, because they are requesting international community to donate food instead of improving your logistic chain
 
Kwenye angle ya kisiasa hakuna huyu mama anapokubalika hata sehemu 1,ni ukweli unavyosema Dodoma ndio hawataki hata kumuona, mikoa ya Lake Zone ipo hapo juu kuanzia Mwanza, Tabora, Geita (Kagera na Mara) hatoboi hata hivyo wenye ccm yao nao hawamwelewi kumbuka fununu za waziri anaeutafuta urais 2025
Apa kwangu anakura mbili kati ya wapiga kura wawili.unajaribu kuwasemea watu eeh hata Jpm watu walimchukia sana lakini alipita tena
 
Kenya has a logistics problem, not a food problem.
Majority of those in hunger have refused to civilize and live next to population centres.
Ukiachana na njaa pia Kenya haifikiki haina miundombinu, inashangaza kuona mkitumia helicopters kufika kwenye counties ndani ya Kenya sababu hakuna barabara za kufika huko, Tanzania kubwa mara 2 yenu hakuna wilaya isiofikika kwa gari.
 
Dar es Salaam province has only 5.3 million people?

Na mbona huwa tunadhani Nairobi has the lower population.
Wider Nairobi (Nairobi metropolitan) has 9.3 million people.
Nairobi metropolitan ni CBD yenu, unataka kusema kile kieneo finyu vile kina watu idadi hiyo? Ndio maana mna slums kila angle
 
Is Tanzania still a lower middle income country? Considering the rapid rise in population relative to a slower economic growth? Does the new per capita income meet the threshold?
Yes it's
Source WB
Screenshot_20220713-125740_Samsung%20Internet.jpg
 
Ila waafrika tutakuja kundelea ila kwa mbindee sana aise yani kila siku makongomano na mikutano ya serikali haisha ,hela nyingi zinapotea kwenye ushubwada alafu utekelezaji upo very slow au hakuna kabisa mambo haya yanakera mpaka basi

Ile regime ya JPM imetuharibu sana kwa kudhani mtu mmoja anaweza tatua matatizo ya watu 61.7M bila ya kushirikisha wengine...lakini siwezi kushangaa sana watanzania tunatumia sana yakuambiwa hatupendi kujiongeza
 
Of course all big cities are like that even Dar can have more people if you refer to wider area, but countywise and regionwise, Nairobi (4.397) and Dar (5.383)
 
Mama intellectually ni zero!

Walimwaribia kwa kumpanga amponde Magufuli jambo ambalo limwebackfire mno, ukijumlisha na style ya uongozi ya Vijana wa Mjini wakina Makamba na Nape wanavyoharibu, ukicheki Nchemba nae wote hawa wamemvuruga mama kwa mno. Lipo lipo tu na Ushungi wake, ngoja aone come 2025!
Ndio unavyojifariji wewe kenge,mlishaunda chama chenu mkaweka na picha ya dhalimu vipi mumeishia wapi? 😁😁..

Endeleeni kujifariji kwenye mitandao.
 
Hela nyngi zinaishia kwenye masemina tuu daah😅
Hela nyingi sh.ngapi? Wale mlipokuwa hamfanyi semina mbona hakuna hata mradi mmja mlikamikisha?

By the way Bashe alikuwa anamaanisha Taasisi mbalimbali za masuala ya kusaidia kilimo zimekuwa na makongamano mengi badala ya ku channel pesa kwenye kilimo..

Hata Kule Mbeya alirudia hiyo kauli baada ya kumshukuru Rais kuwaleta tena Feed the Future.
 
Hali ya maisha inatripotiwa kuwa mbaya sana huko Kunyaland, mfumuko wa bei uko 10%.

Wanaelekea njia ya Ghana 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221101-080945.png
    Screenshot_20221101-080945.png
    141.6 KB · Views: 12
Back
Top Bottom