Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Duh hii report itawafanya wakenya watoke kwenye hii battle ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Kumbe as we are talking right now kuna majengo 739,289 zinazoendelea na ujenzi, ni juz Kati tu tulikua tunabishana na hizi mbwa kuhusu hi mchongo.. huyu mbwa Teargass leta ile report yako ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nyumba za kuku pia mnahesabu?
 
Hahahaha Yaani taarifa zako unazojengea hoja humu ni comments za watu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kama ile comment ya wakunya ndio wenye mashamba Tanzania lakini kuyaleta hamuwezi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
ukweli mchungu.., mko hovyo sana.., na hii uchumi yenu hafifu hapa ni muujiza utawakomboa..,
1667307898487.png
 
ukweli mchungu.., mko hovyo sana.., na hii uchumi yenu hafifu hapa ni muujiza utawakomboa..,
View attachment 2404072
Kuna any kind of growth isio na extra adjustments? Mtoto akikua tu kimo zipo nguo mpya itabidi anunuliwe, hiyo statement ipo obvious

Kikubwa ni kwamba tunaongezeka lakini hatufi njaa kama ninyi, tunajitosheleza na kuhudumia Africa, ninyi mpo mlivyo lakini hata 10% hamjitoshelezi aibu ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Mali ya Mzungu, sasa ninyi mnamiliki nini huko?
Crystal Rivers ambayo nimepost hapo juu zinamilikiwa na Mkenya
Riverbank Apartments nimepost hapo juu zinamilikiwa na Mkenya

Greatwall Aprtments ambazo nimepost zinamilikiwa na mwekezaji Mchina lakini hizo ni nyumba za tenant purchase scheme na za mortgage, Yani unalipa rent lakini ndo polepole unanunua nyumba kabisa, baada ya miaka 12, 15 au 20, wewe ndo mmiliki wa nyumba 100% kwahivyo hata zile apartments unazodai ni Mali ya wazungu na wahindi, Baada ya miaka kumi hadi ishirini zote zitakua ni nyumba za wakenya 100%. System ya tenant purchase scheme inawezesha alie hana uwezo wa kukohoa mamilioni ya pesa kwa mpigo kumiliki nyumba baada ya miaka kadhaa...

Hata zile nyumba mpya za Kibera mulizokua mnacheka ati zinajengwa na mzungu, hizo ni nyumba za serekali, mwekezaji ni mzungu. Serekali itampatia mzungu shamba, mzungu atajenga akimaliza atakusanya kodi ya nyumba kwa miaka ishirini, baada ya miaka ishirini umiliki wa nyumba 100% utaenda kwa wanaolipa kodi.

The Kibera Soweto East Zone B Social Housing Project will allow Mama Mbogas to pay as low as Sh2,400 a month for a one-bedroom apartment under the tenant purchase scheme. We believe this will help upgrade slums, open up the economy and drive our growth.

During the launch of the proposed Kibera Soweto East Zone B Social Housing Project in Langโ€™ata, Nairobi County, that will construct 4,054 units.

Najua haya ni mambo ambayo akili yako fupi haiwezi kuelewa, lakini kwa kukuelezea wewe, naelezea pia wenzako ambao wanapita kimya kimya, najua kuna wengine wataelewa

So what is a tenant purchase scheme?

What is a tenant purchase scheme?​

A tenant purchase scheme is simply a house-ownership plan which allows a tenant to purchase the flats/residence they have rented.
Under the arrangement, the rent you pay goes towards redeeming the purchase price and the house title is transferred to you as soon as you pay off the whole amount.
In most cases, youโ€™ll first agree with the developer on the period and interest rate.
All you have to do after this is to pay your agreed monthly rent to cover the balance.

----------------------------------------------------------
Kwahivyo hii system tunayotumia kujenga Affordable Housing Project haina tofauti na kama vile nilivyo waelezea kuhusu expressway ikijengwa kama PPP.
Tofauti hapa ni mwekezaji anajenga nyumba alafu anaingia mkataba wa loan na mpangaji nyumba, mpangaji nyumba akilipa kodi ya mwezi ndo analipa deni hadi ule wakati atakapo maliza kulipa + interest, baada ya hapo mkaazi wa ile nyumba anamiliki 100% na mwekezaji atakua aliregesha hela zake na akatengeneza faida..

Kama unataka kujua zaidi kuhusu hii system ya umiliki wa affordable housing inkia kwa hii tovuti ya serekali ambapo mkenya yoyote anaweza ku apply kumiliki hizo nyumba

Kenya's households projection by 2025, 14.25 million ๐Ÿ‘‡View attachment 2403435while 2022 census report shows that there are 14,348,372 households in Tz ๐Ÿ‘‡View attachment 2403456
unajua maana ya neno household kweli? ama unadhani ni jumba haswa? yaani watu wa censor wakifika kwenye boma lenu, watalihesabu kama household moja.., ila pale kunaweza kukua na nyumba kadhaa, kwa mfano ya wageni, "simba" (cottage) ile ya vijana etc.., household sio jumba haswa dogo.., bana hizi aibu za kutokujua kisha unakurupuka punguza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1667308515821.png

yaani nyoote ni zwazwa ata mchapishaji wa hili๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ eti idadi ya majengo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1667308296681.png
 
Crystal Rivers ambayo nimepost hapo juu zinamilikiwa na Mkenya
Riverbank Apartments nimepost hapo juu zinamilikiwa na Mkenya

Greatwall Aprtments ambazo nimepost zinamilikiwa na mwekezaji Mchina lakini hizo ni nyumba za tenant purchase scheme na za mortgage, Yani unalipa rent lakini ndo polepole unanunua nyumba kabisa, baada ya miaka 12, 15 au 20, wewe ndo mmiliki wa nyumba 100% kwahivyo hata zile apartments unazodai ni Mali ya wazungu na wahindi, Baada ya miaka kumi hadi ishirini zote zitakua ni nyumba za wakenya 100%. System ya tenant purchase scheme inawezesha alie hana uwezo wa kukohoa mamilioni ya pesa kwa mpigo kumiliki nyumba baada ya miaka kadhaa...

Hata zile nyumba mpya za Kibera mulizokua mnacheka ati zinajengwa na mzungu, hizo ni nyumba za serekali, mwekezaji ni mzungu. Serekali itampatia mzungu shamba, mzungu atajenga akimaliza atakusanya kodi ya nyumba kwa miaka ishirini, baada ya miaka ishirini umiliki wa nyumba 100% utaenda kwa wanaolipa kodi.

Najua haya ni mambo ambayo akili yako fupi haiwezi kuelewa, lakini kwa kukuelezea wewe, naelezea pia wenzako ambao wanapita kimya kimya, najua kuna wengine wataelewa

So what is a tenant purchase scheme?

What is a tenant purchase scheme?​

A tenant purchase scheme is simply a house-ownership plan which allows a tenant to purchase the flats/residence they have rented.
Under the arrangement, the rent you pay goes towards redeeming the purchase price and the house title is transferred to you as soon as you pay off the whole amount.
In most cases, youโ€™ll first agree with the developer on the period and interest rate.
All you have to do after this is to pay your agreed monthly rent to cover the balance.

----------------------------------------------------------
Kwahivyo hii system tunayotumia kujenga Affordable Housing Project haina tofauti na kama vile nilivyo waelezea kuhusu expressway ikijengwa kama PPP.
Tofauti hapa ni mwekezaji anajenga nyumba alafu anaingia mkataba wa loan na mpangaji nyumba, mpangaji nyumba akilipa kodi ya mwezi ndo analipa deni hadi ule wakati atakapo maliza kulipa + interest, baada ya hapo mkaazi wa ile nyumba anamiliki 100% na mwekezaji atakua aliregesha hela zake na akatengeneza faida..

Kama unataka kujua zaidi kuhusu hii system ya umiliki wa affordable housing inkia kwa hii tovuti ya serekali ambapo mkenya yoyote anaweza ku apply kumiliki hizo nyumba

Usiniandikie ngonjera nitajie owner wa crystal pearl real-estate
 
#census2022.., ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ .., Eastlands with vast estates yenye haupati Tanzania nazo ni za wahindi? jinga type๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., hatufanani dogo.., ukweli msio penda umeanikwa, tokea 2020, reports zote kutokea Tanzania na other bodies including your CAG zimewaumbua sana..,mnapenda mijisifa bure ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na wewe uko kwa hii kikundi?๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡
View attachment 2404042
we Unazungumzia kuhusu nini.? After all sisi tuko na nyumba nyingi kuwazidi,
 
Breaking news๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญso so sad!!!
Quavo,Offset,Takeoff hip hop musicians!!
Take off is dead,head shot๐Ÿ’€๐Ÿคž
2PAC๐Ÿ’ฅ
 
Kuna any kind of growth isio na extra adjustments? Mtoto akikua tu kimo zipo nguo mpya itabidi anunuliwe, hiyo statement ipo obvious

Kikubwa ni kwamba tunaongezeka lakini hatufi njaa kama ninyi, tunajitosheleza na kuhudumia Africa, ninyi mpo mlivyo lakini hata 10% hamjitoshelezi aibu ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Ardhi inawalisha kama wanyama pori, ila kwa sasa ukame umewakamata, bei ya bidhaa imepanda, kupata maji na umeme ni kama solving a complex puzzle kule kwenu., haitangazwi ila ndio hali Tanzania ya sasa..,
wacha nikotoe ujinga ulio nao wewe.., omba Mungu sana isiendele kwa vile nyie ni wanyonge itakua janga la dunia kuwasaidia kama vile Ethiopia miaka ya nyuma, mko hovyo usijitekenye๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...,
1667309936737.png

1667309954650.png

1667309963328.png

1667309974055.png

1667309906806.png

1667309914970.png

1667309924108.png
 
Hayupo mkenya mwenye uwezo wa kumiliki hii project, ungesema msomali ningekubali ila ninyi bado
kachunguze wanaokuja kutoka Kenya kuwekeza kwa Nchi yenu,DRC,Uganda,Rwanda,Burundi,South Sudan,Somalia,Somali Land,Punt land,Jubaland๐Ÿค‘Kama ni wasomali!!!
Usitubebe ndogo๐Ÿ’ฉ
 
Ardhi inawalisha kama wanyama pori, ila kwa sasa ukame umewakamata, bei ya bidhaa imepanda, kupata maji na umeme ni kama solving a complex puzzle kule kwenu., haitangazwi ila ndio hali Tanzania ya sasa..,
wacha nikotoe ujinga ulio nao wewe.., omba Mungu sana isiendele kwa vile nyie ni wanyonge itakua janga la dunia kuwasaidia kama vile Ethiopia miaka ya nyuma, mko hovyo usijitekenye๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...,
View attachment 2404107
View attachment 2404108
View attachment 2404109
View attachment 2404110
View attachment 2404104
View attachment 2404105
View attachment 2404106
Bei ya chakula ikipanda faida ni kwa nani? Obviously ni kwa mtanzania, kunyaland bei ya chakula ikipanda faida pia ni kwa mtanzania, hamna mnaloweza
 
we Unazungumzia kuhusu nini.? After all sisi tuko na nyumba nyingi kuwazidi,
umeelewa maana ya neno "household" kwanza?.., nyumba, yaani mijengo hiyo ni debate nyingine.., kisha mko wengi zaidi ya Kenya by over 10 million!!.., uchumi hafifu, ufukara, taifa kubwa, shukuru Mungu kwa ardhi, nyie na wanyama pori mko kwa the same whatsapp group kimaisha ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Usiniandikie ngonjera nitajie owner wa crystal pearl real-estate
Na mmiliki wa Crystal Rivers Mall na Gated community ni Wafanyikazi wa safaricom kupitia Malipo yao uzeeni

Crystal Rivers Safaricom Mall and Gated Community is a Safaricom Staff Pension Scheme(SSPS) Development conveniently situated on the busy Mombasa Road, 1.2 Kms past the Mombasa/Namanga Roads interchange on the border of Nairobi County and Machakos County
------

Lakini wamiliki wa hizo nyumba baada ya kulipa mortgage itakua ni wakaazi na sio hao Safaricom pension tena.... Hapo ndo maboya hamuelewi

Na hata ile Riverbank apartments nliopost pamoja na Two rivers Mall ambayo ndo the biggest mall in East and Central Africa, ni project ya marehemu Cris Kirubi ambaye ni mkenya, angalia hapo kwa arrow, CK Square --- yani Chris Kirubi
1667301078765.png

Two RIvers Mall
1667310338233.png

Huyo Cris Kirubi yeye ndo bado anajenga Mzizi affordable Housing project

1667310411900.png
 
Bei ya chakula ikipanda faida ni kwa nani? Obviously ni kwa mtanzania, kunyaland bei ya chakula ikipanda faida pia ni kwa mtanzania, hamna mnaloweza
Bei imepanda nyumbani kwenu wewe unasema faida ni kwa mtanzania asie kua na uwezo wa kununua, unajiliwaza na huu ujinga wako, mmepatikana, uchi wenu uko wazi, omba Mungu ukame isiendelee bure mtaihama nchi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom