chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,308
- 45,107
Asingeweza kuwa baba tozo sababu hata hivyo yeye ndio chaguo lake, juzi akiwa Geita anazindua grid ya ukanda huo body language ilikua inaonesha kabisa kipara na yeye haziivi, hawezi kumtumbua sababu anajua ni team msoga mambo yatakorogeka ila wangekua hawa wasio na godfathers siku nyingi angeshampiga chini.Hehee hana nguvu hio.. nilijua baba tozo. Baba tozo ana nguvu kuliko obama wa bongo.
Anamuogopa kipara mno, kile kimama huwa kina kisirani mno ila kwa kipara kanoa, kumbuka ndugai alivyoshukiwa jumla jumla ni sababu alikua anammudu na alikua hana backup ya msoga


mi sijaai ona.. na kama iko!.. leta!
ya takwimu zaidi ya mia moja [>+100]

