Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu mwaka wa nne sasa
IMG_1589921207.855525.jpg
 
Baada ya JPM kufariki infrastructure nyingi naona kama zimebadilishwa design, zimepunguzwa ukubwa na muonekano naona umebadilika, hii Msalato render yake mbn ilikuwa nzuri sana na kubwa tofauti na hii jua kali.
Tupe design kabla na baada ya JPM otherwise ni hisia zako.Nikukumbushe hata JPM alibadili design ya miradi.Mfano Ubungo interchange.
 
Hapana sababu ya malalamiko ya matumizi na urafiki wa ile ya Mbezi Luis ni umbali wake tokea city center! Sasa tusirudie makosa! Ikiwa Kivule inafikikaje? Na gharama za kufikika? Mbona miji ilyoendelea stands za mabasi ziko mijini?
Hapa tunaongea lugha moja, huwa napinga sana stendi na stesheni kuwekwa nje ya miji.
Miji ilyoendelea wanajitahidi ziwe mijini tena karibu karibu, just a walking distance.
 
Baba hoiye!
Azimio.. rrrryah!
Azimio.. tttwah!
Baba for President 2027


hadi Canaan tufike. hatujakufa moyo bado. hadi pindi kieleweke

BaBa at Homa Bay County on Saturday, 29th Oct. trying to draw a road map for journey 2027.
Baba hoiye!👏🏽
Azimio.. rrryah!

Screenshot_20221030-025022_YouTube.jpg
 
Baba hoiye!
Azimio.. rrrryah!
Azimio.. tttwah!
Baba for President 2027


hadi Canaan tufike. jatujakufa moyo bado. hadi pindi kieleweke

BaBa at Home Bay County on Saturday, 29th Oct. trying to draw a road map for journey 2027.
Baba hoiye!
Azimio.. rrryah!

View attachment 2403058
Uyo mzee wenu hawezi kuja kua president, by 2027 atakua na miaka ngapi? Na atakuja na sera gani
 
Nipe functionality yake tujadiliane! Serikali ya CCM isikimbie hili tumeshindwa kupanga miji yetu it haya ndo madhara yake!tusikimbie gharama maana itatufana zaidi mbeleni!lile eneo ni dogo sana tuwaachie JNIA kwa ajili ya maendeleo ya baadae pamoja na usalama wa nchi lipeni fidia upande wa pili hakuna namna airports zinaenda kwa viwango,tusije tukakwama mbele.Tanroads nyie ndo wabishi wekeni interests za nchi mbele.
Skia mzee.Kwani eneo la JNIA Ndani,likiwa na kituo chake peke yake kuna ubaya gani.Ikiwa kama drop off centre ,ya watu wanaotaka kusafiri ?

Cha pili sio kwamba watu wa nje wanatoka kuja ndani kupanda ma bus,kuna kuwa na vituo viwili cha ndani na nje

Mtu hawezi kupanda BRT ashuke akokote mizigo hadi airport itakuwa jau zaidi
 
Back
Top Bottom