Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We rape Tanzania without mercy 😂😂

NCBA has a total assets of $210M in Tanzania alone.
Screenshot_20221030-204908_1.jpg
 
.. but im still happy tunaongeza 'international airport' nyingine kubwa nchini.. nasubir ile ya pemba nayo wapate mkandaras ujenzi uanze
Kabisa bro! Design ya JNIA TBII nayo iko poa sana ile canopy ambayo ndo signature ya TBII inabaki sema wanaliextend jengo kwenda mbele kwa glass facades kwa kufuatisha ile zigzag ya juu kwa juu then linaenda mbele mpk pale kwny barabara ya kwanza ya parking linashuka chini then inafuata drop off eneo lote pale mbele ni full vioo!Ndani ndo noma kabisa!pia kuna bridge itakengwa kwa ajili ya kuunganisha TBII na TBIII Hii ndo itakuwa rasmi Hub ya ATCL.
 
Mkishamaliza kuangalia hii video.. nenden kwenye media section ya hii account, afu angalien nature ya barabara za kenya..linganishen na wanayopost humu

Sikuzote huwa nasema.. hawa jamaa maisha yao, nchi yao na mambo yao yamekaa kihunihuni na uongo uongo mwingi sana
Usijiwaze sana thats eastern bypass still under construction
 
Mkishamaliza kuangalia hii video.. nenden kwenye media section ya hii account, afu angalien nature ya barabara za kenya..linganishen na wanayopost humu

Sikuzote huwa nasema.. hawa jamaa maisha yao, nchi yao na mambo yao yamekaa kihunihuni na uongo uongo mwingi sana

That is a road under construction. Eastern Bypass, it's being dualed. Stop reasoning like The best 007.
 
Mimi pia naona hivyo, labda tusubiri iishe.
Baada ya JPM kufariki infrastructure nyingi naona kama zimebadilishwa design, zimepunguzwa ukubwa na muonekano naona umebadilika, hii Msalato render yake mbn ilikuwa nzuri sana na kubwa tofauti na hii jua kali.
 
Back
Top Bottom