Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila sijaafiki kituo cha BRT kuwekwa ndani ya eneo la airport pale karibu na geti la kuingilia terminal 2 mnaonaje wadau kwa mliotembea?! Congestion itakuwa kubwa sana pasipo na sababu!Wangefidia watu kule upande wa pili wa barabara wakajenga
Hivo ndo inavyotakiwa kuwepo. Kituo hiko ninatakiwa kutumiwa na wasafiri tu. Na kunatakiwa kuwa na basi la mjini moja kwa moja kutoka hapo. Ila kama watachamganya na watu wa nje watakuwa wamefeli. Na hakuto kuwa na ndege ya kwenda marekani milele!
 
Baada ya miaka 5 Kenya itasalimu amri mchana kweupe hamna namna nyingine! imagine terminal 2 mradi done, 4 star hotel done mwendokasi done, SGR done Business facility done, nilikuwa napiga stori na eng. mmoja wa kifaransa kwenye mradi wa expansion & modernazation ya TB2 akawa ananidokezea walifanya observation ya Jomo Kenyatta then JNIA TBIII then ndo wakaja na idea ya super structure mpya ya TBII.
Hakuna namna Wakenya wanaweza epuka kipigo toka kwetu mana tumejipanga mnoo, ndio maana mm cku zote sitoacha kumsifu na kumuombea kwa Mungu JPM, Mwenyezi ampunguzie adhabu huko aliko mana yeye ndiye muasisi wa Tz mpya, viongozi waliopita baada ya Nyerere hawakuwa na uthubutu wa JPM. Leo hii kila rais wa TZ ni analazimika kufanya miradi tu, tena ile mikubwa mikubwa sio miradi ya neti.

Ukiangalia miradi tunayofanya Tz nchi nzima utagundua miaka michache ijayo hatutakuwa level moja na hivi vinchi vya Africa mashariki, tumeviacha mbali mno mnoo.
 
Tanzania hairuhusu uraia pacha, sasa labda umvue kwanza uraia wa Tanzania zen umkabidhi huo uraia unaotaka wewe kumpa
Hii sera ya kuzuia dual citizenship inai-cost Tanzania zaidi ya kuleta benefits. Tunapoteza investments, talent, and intellectuals to other countries because we can’t recognize dual citizenship.

Ndio Maana leo watu waliofanikiwa kimataifa wenye roots TZ tunakimbilia ku-wa claim kuwa ni watanzania huku uhalisia haupo. BS!
 
Kwatunza beach, mwanza
_20221030_222959.JPG


_20221030_221604.JPG
 
Hawa jamaa ukiwa unafikiri umewaeka level flani ya ujinga, kesho wanakuja na jipya kudhihirisha kumbe kuna level nyengine chini yake ya ulimbukeni,

Kama basi tutatumia same logic ya kampuni inayopewa kandarasi ndo mmiliki wa jengo basi haya majengo yote huko Tanzania yanamilikiwa na wakenya manake Kampuni ya Kenya ndio ilipewa kandarasi ya haya majengo huko Tanzania

TPA towers
Tanzania Parliament building
East African Community HQ
Kilimanjaro Towers
PSPF Towers
Mwanza Shopping Mall

Zote hizo ni za Wakenya!!!! Twende nalo sasa
Mzee kandarasi ya kuchora au ...Plus pspf haijachorwa na Kenyan company
 
Wakunya hawajiulizi kwanini NSSF yetu ni richer than theirs, halafu watasema wana international companies and organizations zinazowalipa mishahara mikubwa 😂😂😂

60% ya seniors are Tanzanians hawa wanalipwa kitita hata Ruto hashiki 🤣🤣🤣

 
Big Projects in Dar to be completed before 2025

1.BRT Phase 3 27km U/C
2.BRT Phase 4 28km.Tender imetangazwa
3.BRT Phase 5 .Loan Secured
4.Msimbazi River Project with New Bridge
5.Over 6 flyovers at diffrent Junctions
7.Mzizima Towers
8.7/11 Kawe project resumed
9.Samia Housing Scheme Kawe Tanganyika pakers
10. Morroco Square
11. Terminal 2 JNIA Expansion
12. Brt Phase 6 Most likely funds will be secured before 2025
13. New Indoor Arena 10k Capacity ..Kawe/Kibamba au wapi
14. Expanded Kariakoo Market
15.

Projects i wish the Govt should take before 2025

1.New Container Termimal at Dar port at least with capacity to handle 10 million extra tonnes
2. Upanga Finacial Hub /District
3. New Bus stand ya Ku serve mikoa ya kusini(Mtwra , Lindi , Kilwa , Rufiji) iwe mbagala

4.New Bus stand to serve mikoa ya kusini ( Bagamoyo, Arusha , Tanga , Moshi , Kenya ) iwepo Bunju zitapunguza congestion barabarani

5.TPA New Terminal for Boats and yatchs doing trip to Zanzibar

6. Dar. Es Salaam Waterfront Park

Projects i wish private companies zifanye

1.Simba Stadium
2.Yanga Stadium
3.
 
Big Projects in Dar to be completed before 2025

1.BRT Phase 3 27km U/C
2.BRT Phase 4 28km.Tender imetangazwa
3.BRT Phase 5 .Loan Secured
4.Msimbazi River Project with New Bridge
5.Over 6 flyovers at diffrent Junctions
7.Mzizima Towers
8.7/11 Kawe project resumed
9.Samia Housing Scheme Kawe Tanganyika pakers
10. Morroco Square
11. Terminal 2 JNIA Expansion
12. Brt Phase 6 Most likely funds will be secured before 2025
13. New Indoor Arena 10k Capacity ..Kawe/Kibamba au wapi
14. Expanded Kariakoo Market
15.

Projects i wish the Govt should take before 2025

1.New Container Termimal at Dar port at least with capacity to handle 10 million extra tonnes
2. Upanga Finacial Hub /District
3. New Bus stand ya Ku serve mikoa ya kusini(Mtwra , Lindi , Kilwa , Rufiji) iwe mbagala

4.New Bus stand to serve mikoa ya kusini ( Bagamoyo, Arusha , Tanga , Moshi , Kenya ) iwepo Bunju zitapunguza congestion barabarani

5.TPA New Terminal for Boats and yatchs doing trip to Zanzibar

6. Dar. Es Salaam Waterfront Park

Projects i wish private companies zifanye

1.Simba Stadium
2.Yanga Stadium
3.
Hili la bus stand ya mikoa ya Kusini Mbagala (3) nishawahi ona design yake mahali sijui kwann halipewi kipaumbele?
 
Back
Top Bottom