Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,283
- 7,062
Kijana mdogo, Kasome maana ya PPP project alafu ndo urudiWe jamaa unaongea upumbavu Gani.? Kwanza kuna jengo nyie kenyans mmejenga huku Tz.? Kuna kampuni ya ujenzi uko kwenu yenye inauwezo wa kujenga hizo facilities.? 🤣🤣🤣
Tunasema express way ni mali ya mchina bcoz it's true that ni mchina ndie aliejenga and ndie anae control huo mradi, no Kenyan anaeza pita hapo bila kulipa, na atamiliki huo mchongo in 30 good years.
SGR yenu alkadhalika ni Chinese owned and controlled project ..
Sio mali zenu.. 🤣🤣🤣
PPP ni aina ya loan... Tofauti ni kwamba Loan inalipwa na kodi inayokusanywa na serekali kutoka kwa wananchi, lakini katika PPP, watumizi wa expressway pekee ndo wanalipa loan directly kwa kampuni iliojenga expressway, Yani badala ya nchi nzima hadi mkaazi wa Mombasa kulipia ujenzi wa expressway ambayo hatawai itumia, ni watumizi wa expressway pekee ndo watalipia loan iliotumika kujenga expressway...
Lakini katika PPP project, mmiliki wa hio barabara ni uma, sio hio kampuni, na hata pia sio lazima aliejenga barabara ndo achukue hela kutoka kwa watumizi wa barabara.... bora tu mkusanyo wa siku uende kwa kitita cha kulipa ile loan.
Faida ya PPP ni kwamba risk zote za kuwekeza zinachukuliwa na mwekezaji, alafu serekali haitumii hela, ni wananchi ndo wanalipa loan directly kila wanapotumia barabara, kwahivyo kwa kifupi, project ya PPP na project inayojengwa na loan, hakuna tofauti, zote zinatumia hela kutoka nje ambazo lazima zilipwe

