joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
All your companies in Tanzania almost above 500 in number have invested only $1.2B, are these companies or mama mboga companies?



All your companies in Tanzania almost above 500 in number have invested only $1.2B, are these companies or mama mboga companies?



Hao wakenya wenye wanafanya kazi Tanzania are employeed in Kenyan companies in Tanzania owned by Kenyans. The food you are talking about their seeds mnauziwa na kampuni ya Kenya😂😂😂. Tanzania has no effect on Kenya.Remember that Tanzania feeds you, we control you by allowing your people to get jobs and send back home remittances that save lives of many Kenyans, Tanzania is the biggest source of your remittances in Africa![]()
Si unamuona huyo mkenya hapo kwa picha wakati wa launching kama vile umetuonyesha wale wahindi kwa sherehe ya kuweka jiwe kwa nyumba za kenya?🤣🤣🤣🤣 Kwahyo hii parliament building ni jengo la mkenya.? 🤣🤣🤣
Tulia udungwe sindano😂😂All your companies in Tanzania almost above 500 in number have invested only $1.2B, are these companies or mama mboga companies?![]()
Bila Kenya hamngekuwa na Parliament saa hii 😂😂😂🤣🤣🤣🤣 Kwahyo hii parliament building ni jengo la mkenya.? 🤣🤣🤣
We jamaa unaongea upumbavu Gani.? Kwanza kuna jengo nyie kenyans mmejenga huku Tz.? Kuna kampuni ya ujenzi uko kwenu yenye inauwezo wa kujenga hizo facilities.? 🤣🤣🤣Si tunatumia logic yenu ya anayepewa kandarasi kujenga ndo mmiliki wa jengo? So hayo majengo yote nliotaja huko Tanzania tunayamiliki sisi Wakenya! Kumbe tuna mali nyingi sana huko Tanzania, karibia majengo yote mapya tunayamiliki!
Kwahyo ni kenyan owned facity.? 🤣🤣🤣Bila Kenya hamngekuwa na Parliament saa hii 😂😂😂
Acha kulia. Estim was started in Kenya and they are building in Tanzania 😂😂😂We jamaa unaongea upumbavu Gani.? Kwanza kuna jengo nyie kenyans mmejenga huku Tz.? Kuna kampuni ya ujenzi uko kwenu yenye inauwezo wa kujenga hizo facilities.? 🤣🤣🤣
Tunasema express way ni mali ya mchina bcoz it's true that ni mchina ndie aliejenga and ndie anae control huo mradi, no Kenyan anaeza pita hapo bila kulipa, na atamiliki huo mchongo in 30 good years.
BRT yenu alkadhalika ni Chinese owned and controlled project ..
Sio mali zenu.. 🤣🤣🤣
Facity ndio nini?😂😂🤣Kipigo kimekuma nzito hadi unachanyikiwa🤣🤣Kwahyo ni kenyan owned facity.? 🤣🤣🤣
Nakumbuka ule wakati JPM alitubania, Watanzania wengi sana walikua wanacheka wakingojea kuona uchumi wa Kenya ukizorota, infact wakati huo ndo tulikua na highest rate ya exports compaired to the last decade! We don't live off Tanzania... Biashara na wao inatufaidi lakini si eti nchi itaanguka wakiamua kutubania..Hao wakenya wenye wanafanya kazi Tanzania are employeed in Kenyan companies in Tanzania owned by Kenyans. The food you are talking about their seeds mnauziwa na kampuni ya Kenya😂😂😂. Tanzania has no effect on Kenya.
🤣🤣🤣 Hizi takataka umeokota wapi.? Estim ni kampuni ya kitanzania na makao makuu yake yapo DAR 👇Acha kulia. Estim was started in Kenya and they are building in Tanzania 😂😂😂
View attachment 2402341
Mtu anakuambia ati wameandika wakenya kazi yet most companies in Tanzania are owned by Kenyans. Nowadays most manufacturing companies in Tanzania are owned by Kenyans.Nakumbuka ule wakati JPM alitubania, Watanzania wengi sana walikua wanacheka wakingojea kuona uchumi wa Kenya ukizorota, infact wakati huo ndo tulikua na highest rate ya exports compaired to the last decade! We don't live off Tanzania... Biashara na wao inatufaidi lakini si eti nchi itaanguka wakiamua kutubania..
When Tanzania sneezes, Kenya gets cold![]()
From Estim wenyewe. Who are you to dispute them?🤣🤣😂🤣🤣🤣 Hizi takataka umeokota wapi.? Estim ni kampuni ya kitanzania na makao makuu yake yapo DAR 👇
🤣🤣🤣 Most companies in Tz are owned by kenyans 🤣🤣🤣 Kwahyo tz kutakua na kampuni ngapi according to you.? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtu anakuambia ati wameandika wakenya kazi yet most companies in Tanzania are owned by Kenyans. Nowadays most manufacturing companies in Tanzania are owned by Kenyans.
Simple question, mwenye anamiliki estim ni mkenya.? 🤣🤣🤣From Estim wenyewe. Who are you to dispute them?🤣🤣😂
Again head office doesn't make it Tanzanian, how many Kenyan companies have head offices in Tanzania? How many Kenyan companies are headquartered in Tanzania 😂
View attachment 2402345
Msalato International Airport
But on my opinion, sijaona uzuri wowote kwenye hii airport
Ni mhindi who started his company in Kenya. Should I remind you his name? 😂😂😂Simple question, mwenye anamiliki estim ni mkenya.? 🤣🤣🤣
Is this company Kenyan owned or not?😂😂🤣🤣🤣 Most companies in Tz are owned by kenyans 🤣🤣🤣 Kwahyo tz kutakua na kampuni ngapi according to you.? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa kama mmiliki wa kampuni ni muhindi na ameamua ku shift capital to Tz hata na HQ amajenga huku, utasemeje ni kenyan company.? 🤣🤣🤣 Ar you crazy.? 🤣🤣Au wahindi sikuhiz ni wakenya.?Ni mhindi who started his company in Kenya. Should I remind you his name? 😂😂😂