Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nyumba gani izo😂😂😂😂we huijui Kenya kwelikweli!!
Anatamani Kenya iwe kama Tanzania where almost all businesses are owned by either Kenyans or Indians. Now try to imagine all the investments in Zanzibar Kenyans control 30%, the remaining 70% are divided by the remaining countries in the world😂😂

Screenshot_20221030-110937_1.jpg
 
Hakuna foreigner anaweza kuown hata kipande cha 1 meter Tanzania, hilo kwanza unatakiwa ulitambue kabla ya kuendelea kuharisha
Tulia upangwe.
Inasemekana mazao ambayo yalizuiliwa mpakani yasiingie Kenya yalikuwa karibu asilimia 80%ni ya wakenya wenyewe, inasemekana wamejipenyeza nchini wakilima katika mikoa ambayo ni maarufu kwa kilimo nchini kupitia wazawa.

Ndio maana hayati Rais Magufuli alilijua hilo akawa anawacheki tu wanavyoruka na kukanyagana.

Baada ya wafanyabiashara hao wa Kenya mabenki kuwabana warudishe marejesho (interest), walimfuata Uhuru wakamueleza hali halisi, jamaa akawaelewa, ikasukwa deal ya kujinasua kwa kukurupuka kwao.

Bahati mbaya mwendazake alifariki.

Uhuru Kenyatta baada ya mazishi akawahi kumsogeza mama Samia haraka kwa mwaliko wayamalize.

Cha ajabu huyu kikuyu akapitisha na mambo yao mengi yenye tija kwa taifa lao kama kwenye utalii na kadhalika.

Kifupi sisi ndio looser kwenye sakata hili, wakenya wametengeneza mgogoro makusudi ili watimize matakwa yao na tumeingia mkenge.

Watanzania tuna safari sana kujitoa kwenye uchuuzi.

kuna wakenya walikuwa wanalima vitunguu maji pale Ruaha mbuyuni.
 
Tulia upangwe.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kumbe ni umbea wa JF

Angalia hawa Watanzania wamekamata magari ya mkunya alietaka kuondoka bila kuwalipa pesa zao, sasa hawa ni wakulima wa Tanzania au kunyaland?

99% ya estates zenu ni za wahindi na waarabu
wahindi wanaown tu nyumba uko parklands👌na ata not even many,na uko kwingine wamekomboleshwa manyumba za biashara🖕estates za Kenya nyingi are owned by local Kenyas business communities and some leaders mostly Mps!!!
 
Hakuna mkunya anaempita msomali kwa kumiliki estates, hilo hata ulie haisaidii 😂😂😂😂
 
Wwe huijui Kenya ata kidogo hivi🤏
Kwanza biashara za wahindi zimetekwa Wakenya wameshambuliya na akili,sasa wahindi population most imehamia nyeri town👌
 
Hakuna mkunya anaempita msomali kwa kumiliki estates, hilo hata ulie haisaidii 😂😂😂😂
wasomali most wanamiliki estates in Eastleigh na ni zao wanakaa tu wasomali😂😂they steal money from Somalia wapekeke Eastleigh wakinunua mabasi za Eastleigh pia👌Kuja uone mpaka magheto uku wasomali wakiwa wamejaa wamekomboleshwa na Wakikuyu😂😂😂Yani ata Eastleigh bado Wana own nyumba half half Somali and kikuyus respectively🖕
 
Back
Top Bottom