Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣 Wanakazaga fuvu kubishana na Tz kumbe hata nyumba wanazoishi zinamilikiwa na foreigners 🤣🤣 ni hatari sana, taifa limefeli kiasi kikubwa sana
Hivi huyu ni constructor kweli mkuu? 😂😂😂😂😂😂😂😂

Screenshot_20221030-170116.png
 
Uneza taja wamiliki wa hizo facilities umetaja.? Taja wamiliki 🤣🤣🤣Sio waliojenga.. then na mimi nitataja reli way, na mpaka leo wanachukua pesa kujilipa 🤣🤣
Reli yenu ni loan full swing.
BRT phase 1 ni loan from WB.
Library ni Mali ya mchina.
Tanzite bridge Mali ya mchina
Ubongo interchange Mali ya mchina
Milimani mall Mali ya Botswana
Village palm Mali ya mchina
 
sasa na Mimi venye nimeishi estates mingi and they are owned by Kenyan business communities!unataka kusema I'm tanzanian or wat??
Unathani Kenya ni South Afrika???
Wwe huijui Kenya WWE!!!
Nyumba nzuri mnapost zote humu ni mali za wenyewe, u guys are just happy to see them in your City 🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Wanakazaga fuvu kubishana na Tz kumbe hata nyumba wanazoishi zinamilikiwa na foreigners 🤣🤣 ni hatari sana, taifa limefeli kiasi kikubwa sana
Mbona tubishane na nchi tunamiliki?😂😂
 
Nyumba nzuri mnapost zote humu ni mali za wenyewe, u guys are just happy to see them in your City 🤣🤣🤣
sasa juu dar yenu na visiwa vyenu estates vyote vinamilikiwa na Waarabu munathani mko Kama Kenya or wat????
Naskia mko mpaka na Nchi ndani ya Nchi😂😂😂😂😂maajabu hayo
 
Reli yenu ni loan full swing.
BRT phase 1 ni loan from WB.
Library ni Mali ya mchina.
Tanzite bridge Mali ya mchina
Ubongo interchange Mali ya mchina
Milimani mall Mali ya Botswana
Village palm Mali ya mchina
Hunaga Akili wewe

Ikiwa ni loan that means ni mali yetu ni Tanzanians wote tunapita bure bila bughuza na mtu, hata nikitaka nikawe nalalaga humo ni rukhsa.

Tanzanite bridge hakuna mtu anaelipishwa hata shilingi moja kupita watu wote tunapita bure no Gates, that means it's ours
 
sasa juu dar yenu na visiwa vyenu estates vyote vinamilikiwa na Waarabu munathani mko Kama Kenya or wat????
Naskia mko mpaka na Nchi ndani ya Nchi😂😂😂😂😂maajabu hayo
Kunyaland yote ni mali ya Muhindi kubalini yaishe 😂😂😂😂
Screenshot_20221030-170722.png
 
Hunaga Akili wewe

Ikiwa ni loan that means ni mali yetu ni Tanzanians wote tunapita bure bila bughuza na mtu, hata nikitaka nikawe nalalaga humo ni rukhsa.

Tanzanite bridge hakuna mtu anaelipishwa hata shilingi moja kupita watu wote tunapita bure no Gates, that means it's ours
Kakosa hoja! 😂😂😂
 
Kama loan ni mali yenu basi mbona unasema SGR ya Kenya sio Mali ya Kenya yet ni loan pia? Ama ikifika upande wa Kenya the loan doesn't apply?
 
Reli yenu ni nani?😂😂😂
Hile interchange ya Ubungo ni ya nani?
BRT ni ya nani?
JNIA terminal 3 ni ya nani?
Hile library ya Dar university ni ya nani?
Hawa jamaa ukiwa unafikiri umewaeka level flani ya ujinga, kesho wanakuja na jipya kudhihirisha kumbe kuna level nyengine chini yake ya ulimbukeni,

Kama basi tutatumia same logic ya kampuni inayopewa kandarasi ndo mmiliki wa jengo basi haya majengo yote huko Tanzania yanamilikiwa na wakenya manake Kampuni ya Kenya ndio ilipewa kandarasi ya haya majengo huko Tanzania

TPA towers
Tanzania Parliament building
East African Community HQ
Kilimanjaro Towers
PSPF Towers
Mwanza Shopping Mall

Zote hizo ni za Wakenya!!!! Twende nalo sasa
 
Don't forget Kenyans. Businesses in Tanzania are either owned by Kenyans, Indians, whites (mining) and Chinese.
kabisa🔥🔥 we are big share holders of there economy,they should respect us trully🤑😂😂😂matanzania hayanaga respect!!
 
Back
Top Bottom