Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaeza leta mradi wa Nyumba wa mkenya in the land of Tz ...? 🤣🤣
Let's start from here 😂😂😂. Kenya is third biggest foreign employer in Tanzania.

images.png
 
Hawa jamaa ukiwa unafikiri umewaeka level flani ya ujinga, kesho wanakuja na jipya kudhihirisha kumbe kuna level nyengine chini yake ya ulimbukeni,

Kama basi tutatumia same logic ya kampuni inayopewa kandarasi ndo mmiliki wa jengo basi haya majengo yote huko Tanzania yanamilikiwa na wakenya manake Kampuni ya Kenya ndio ilipewa kandarasi ya haya majengo huko Tanzania

TPA towers
Tanzania Parliament building
East African Community HQ
Kilimanjaro Towers
PSPF Towers
Mwanza Shopping Mall

Zote hizo ni za Wakenya!!!! Twende nalo sasa
Kwahyo hizo facilities umetaja ni mali za kenyans ama. .? 🤣🤣
 
Don't forget about their Parliament in Dodoma as well. Hiyo pia inamilikiwa na wakenya according to their reasoning 😂😂😂

1649326409199.jpg
 
Reli yenu ni loan full swing.
BRT phase 1 ni loan from WB.
Library ni Mali ya mchina.
Tanzite bridge Mali ya mchina
Ubongo interchange Mali ya mchina
Milimani mall Mali ya Botswana
Village palm Mali ya mchina
Povu jingi sana! Utakufa mapema wewe! Kunya panado upunguze maumivu moyoni!
 
Yanaonaga wivu sana kuona kila ghorofa Tanzania ni la mtanzania 😂😂😂
Wao wanamiki mabati tu huko kibra, taifa linaendeshwa na foreigners, wenye they own kila kitu hadi nyumba za makazi 🤣🤣🤣 alafu wao wako humu kupiga kelele na sie wenye tunamilki karibu kila kitu kinachoonekana ground
 
Kwahyo hizo facilities umetaja ni mali za kenyans ama. .? 🤣🤣
Si tunatumia logic yenu ya anayepewa kandarasi kujenga ndo mmiliki wa jengo? So hayo majengo yote nliotaja huko Tanzania tunayamiliki sisi Wakenya! Kumbe tuna mali nyingi sana huko Tanzania, karibia majengo yote mapya tunayamiliki!
 
Wewe kichaa hii ni ajira na uchumi sio kumiliki 99% ya nyumba ambao ni money draining scheme
Do you know what profit is? The profit that hiyo kampuni itatengeneza will be draining money from your country 😂
 
Si tunatumia logic yenu ya anayepewa kandarasi kujenga ndo mmiliki wa jengo?

Teargass ameongezea bunge la Dodoma pia, hili pia tunalimiliki according your your logic
1649326409199-jpg.2402318
🤣🤣🤣🤣 Kwahyo hii parliament building ni jengo la mkenya.? 🤣🤣🤣
 
Si tunatumia logic yenu ya anayepewa kandarasi kujenga ndo mmiliki wa jengo?

Teargass ameongezea bunge la Dodoma pia, hili pia tunalimiliki according your your logic
1649326409199-jpg.2402318
Hawa watu bila wakenya sijui wangejipata Wapi😂😂😂. Tumewaletea civilization as well 😂
 
Back
Top Bottom