Why do you like cheating yourselves? This is Germany.Ujerumani hawana vichwa ngombe vichwa vya ngombe hutoka China tuu![]()
Duh mtu unamtegemea hili upate chakula halafu unamkuta mvivu . Wonders shall never endMngekua mbali sana, mbona mko nyuma, hamuamini ata waafrika wenzenu, waoga nyie, hafifu, wavivu na wanyonge!, matunda yanaonekana, hautahitaji nabii yeyote akuambie, jiangalie mlivyo tokea Dar hadi vijijini..., na uchunguze pia nje ya nchi yenu ushawishi wenu pia ulivyo.., usijitekenye, be realistic stop defending what is not there, sio kila wakati unajibu kishabiki, reason.
Unajua maana ya neno kutegemea kweli?.., usijitekenye ba mzee.,Duh mtu unamtegemea hili upate chakula halafu unamkuta mvivu . Wonders shall never end
Msipende kuhalalisha upumbavu. Which years is this?
The true GDP ya Tz ni $150b hata ulie hutobadili ukweli huo, tunajenga miradi mikubwa sn kwa ss.Pitia hapakilaza na ujibu, ndio ujue maana ya neno GDP.., nyie wanyonge kwetu, shabiki zako za kitoto peleka vijiweni wewe mwehu, hujui lolote mr. GDP ya $150B.., wewe ni low IQ kweli.., ata kuhusu trains ungefyata tu, kazi yako ni kujaribu kuikweza Tanzania ata kwa lile halipo ili ionekane eti iko juu ili ujisikie vizuri, yaani unajidanganya wazi wazi, ila haunaga valid point, uko zero
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Miradi ya Kikwete hiyo na wahuni wenzake wakian Ramadhan Dau.Kumbe huu mradi wa Dege Eco village ndio maana Magufuli aliupiga chini kumbe una madudu mengi aiseee daahhhhhhh
![]()
NSSF admits fraud in Dege Eco Village project
The management of National Social Security Fund (NSSF) admitted before the Parliamentary Public Accounts Committee (PAC) that a multibillion joint venture contract to develop Kigamboni Satellite...www.thecitizen.co.tz
2078Msipende kuhalalisha upumbavu. Which years is this?
Wewe ndio ulipima GDP ya Tanzania ukapata $150B? Naona kubeba rungu inakuharibu akili.The true GDP ya Tz ni $150b hata ulie hutobadili ukweli huo
Kwani watu wa vijijini hawana matumizi?ukute wanamaisha mazuri kuliko watu wengi wa mjini, wanavipato kutoka shambani,maziwa,mayai,mbogamboga,mazao ya chakula ,matunda nkGreenwood City Mall coming up in Meru. This just shows how Kenyans have high purchasing power. Malls zinajengwa hadi kijijini.
View attachment 2400581View attachment 2400582View attachment 2400583View attachment 2400584View attachment 2400585View attachment 2400587
Purchasing power ipi? Monthly mobile Transactions value za Tanzania hamzifikii leo wala keshoGreenwood City Mall coming up in Meru. This just shows how Kenyans have high purchasing power. Malls zinajengwa hadi kijijini.
View attachment 2400581View attachment 2400582View attachment 2400583View attachment 2400584View attachment 2400585View attachment 2400587
Magufuli was assassinated coz of his strict stance on corruption truth be toldMagufuli hakukurupuka kuipiga chini miradi ya kifisadi kwenye hii mifuko ya kijamii Dr Dau alikua fisadi la hatari, miradi mingi sana alioiendesha ilikua na ufisadi wa kutisha ukianzia na daraja la Nyerere kigamboni
YahMagufuli was assassinated coz of his strict stance on corruption truth be told
Una akili sana wewe.Magufuli was assassinated coz of his strict stance on corruption truth be told
Magufuli was assassinated coz of his strict stance on corruption truth be told
Uganda wanazo ata zingine zaidi ya TZ na ni $40B.., enyewe wewe ni mtu bladfwakin kabisaaa.., niletee mapicha tu, angle tofauti tofauti hapo tutaelewana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂The true GDP ya Tz ni $150b hata ulie hutobadili ukweli huo, tunajenga miradi mikubwa sn kwa ss.
Tunajenga Dodoma city ya kisasa.
Tunajenga bwawa kubwa la umeme.
Tunajenga reli ndefu ya SGR kuliko zote Afrika.
Tunajenga mameli makubwa kwenye maziwa yetu yote.
Tunajenga BRT system ndefu na ya kisasa.
Tunajenga viwanja bora vya ndege kila mkoa.
Tunajenga bandari mikoa yote yenye ziwa na kuimarisha zilizopo.
Tunajenga hospitali zenye hadhi na kuweka vifaa tiba bora ambazo zimekuwa msaada kwa Tz na nchi jirani ikiwemo Kenya na maskini wenzake ukanda.
Tunajenga bus terminals za kisasa ambazo kwa za EA ni standard za Airpot kwao.
Tunajenga masoko makubwa na kukarabati yaliyopo.
Tunajenga maghala makubwa ya chakula mpk nchi jirani ikiwemo Kenya na tumeanza kuwaletea chakula.
Yani tunajenga kila kitu kwa ss japo tunachukua mikopo lkn pia tunatumia na fedha za ndani unlike you kila mradi lazima aid au mkopo vihusike, sisi co level yenu kwa ss na msifosi tufanane.