Huyo huwa anaumizwa sn na maendeleo ya Tz, hapo anajifanya kuponda cable stayed bridges just because they don't have and they don't expect to have any in the near future, ila siku akisikia nchi yao inajenga utamuona humu akipanua mdomo wake mpana, umesahau BRT alikuwa anaiponda kila siku huku akisema they don't need BRT, ila cku walipoongopewa watajengewa BRT aliruka ruka kwa maneno na vipicha vya kituo kama mtaro kumbe waliongopewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]