Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You guys don't have beautiful girls. How could you post such girls?

Natalia Yatera [MISS Tanzania 2005 1st runner up]

YATERA.png

Kwa sasa anasumbuluiwa na matatizo ya damu.

Nyie ni Maskini wa kila kitu!
 
Watu wanataka ku level scoreboard .. BRT ni BRT tu 👇View attachment 2398829View attachment 2398830View attachment 2398831.. we mwehu usije ukafa bure Teargass. This is DART vs 0 .. in NAIROBI 🤣🤣🤣
dart-pic.jpg
Haya mabus yote ya BRT na mapya yatakayokuja yakitumia fuel ya gas kwa kuwekewa mifumo ya gas tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana. Tutakuwa tumesave hela nyingi tunayotumia kuagiza mafuta petrol/diesel kutoka nje

Phase 1: Kituo cha kujaza gas kinajengwa au sijui kimejengwa tayar Ubungo

Phase 2: Kituo cha gas kijengwe kule uhasibu

Phase 3: Maeneo ya TAZARA
Huko kote kuna mabomba ya gas ya TPDC
 
Anaitwa Cynthia Masasi. Kaolewa kwa sasa hapo Tanzania. Huyu yupo mpaka kwenye miziki ya kina Ja Rule.



Anaitwa Ida Ljunqvist. Mzaliwa wa Mwanza kwa sasa anaishi LA. The first African-born person to be selected as a Playboy Playmate of the Month.

Anaitwa Agnes Gerald. Huyu unaweza mpata hapa Facebook nimeona niweka na link kabisa msije sema tunaokota picha.

Anaitwa Manaal Sleyim. Huyu yupo facebook na twitter, her twitter account: @manaal_ms
https://twitter.com/manaal_ms

Mimi nawajua watoto wazuri. Linapokuja swala la watoto wakali, nyie Kenya mtulie. Africa hii ni sisi na South Africa tu! ndio unakutwa watoto wakali na shepu kali.
 
dopchinski mbona umefuta picha ya yule dem wako pisi ya mchongo.? 🤣🤣🤣 Utaharibu watoto wewe wacha ujinga,mtazaa watoto wenye wako na sura mbovu mbovu .. I would rather choose a broke beautiful girl than a rich ugly chick .. 🤣🤣 kama shida ni akili na pesa tutatumia zakwangu ..
 

Nyie Wakenya kwenye swala hili mtuache kwa kweli. mademu Wakikenya wanapenda sana Watanzania kwakua ni handsome.


Anaitwa Victoria Martin, Miss Tanga 2007 na Balozi wa Redd's 2007.

Anaitwa Barbara Gonzalez, current Simba SC CEO.

Nyei mnatushinda Njaa, Umasikini, Ubaya, roho mbaya.
 

Attachments

  • 1666823624185.png
    1666823624185.png
    183.4 KB · Views: 23
wewe mzee wa arusha, yani kwa akili zako, unaona nini mbovu hapa. uwivu wako nakijua masera.. uko na uhuru wa kutafuta atakaye kutunza poa..
achana na mimi.. aisee!

am proud of her, sijui kuficha chochote mchizi wangu. am very open than anybody in this forum View attachment 2398951View attachment 2398924View attachment 2398925View attachment 2398920View attachment 2398950View attachment 2398919View attachment 2398952bibi kaandalia mzee tilapia, sakaa na ugali. raha ilioje😍View attachment 2398928
Let me keep it real.

Dear fellow forumer,

If she treats you so well and shows that love, the only honorable thing you can do is to abide with the golden rule, "'Do unto others as you would have them do unto you".

If she means life to you, do your possible best to keep her irrespective of what we or others say about her.

And BTW, kila mbuzi hula urefu wa kamba yake. Don't come up with comparative concepts of beauty between Tanzania and Kenya. She is your everything, she is beautiful.

All the best mate.
 
Mtaendelea kufa kwa njaa Hadi Yesu atakaporudi[emoji23][emoji23][emoji23]
Unabii wenu unao sukumwa na wivu, chuki na roho mbaya huwa zinashindwa, ndio maana hamuendelei, mnakwama tu miaka nenda miaka rudi, mlitamani watu wamwage damu wakati wa uchaguzi mka ambulia patupu, ni baraka na prosperity that will define Kenya kuendelea mbele, mtangoja sana, nyie Pepo mbaya shindwe kabisa.💪🔥🔥🔥 Naona ni mrogi meenzako The best 007 ndio amelike ushetani wako, mtu bladfwakin🤣🤣🤣🤣 😂😂🤣😂
 
Back
Top Bottom