Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unabii wenu unao sukumwa na wivu, chuki na roho mbaya huwa zinashindwa, ndio maana hamuendelei, mnakwama tu miaka nenda miaka rudi, mlitamani watu wamwage damu wakati wa uchaguzi mka ambulia patupu, ni baraka na prosperity that will define Kenya kuendelea mbele, mtangoja sana, nyie Pepo mbaya shindwe kabisa.💪🔥🔥🔥 Naona ni mrogi meenzako The best 007 ndio amelike ushetani wako, mtu bladfwakin🤣🤣🤣🤣 😂😂🤣😂
sasa unabisha anachosema joto la jiwe ? As unabisha, tangu uhuru Kunyaland haijawahi kukosa njaa!
 
Failed BRT.
Etieeeeee, mafanikio ya Tanzania yanakuuma sn mnuka mavi utadhani unaumia peke yako kumbe ni Wakenya wote [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221005-112353.jpg
 
Kwani Kuna watu wazembe hii Dunia kuliko watanzania?[emoji23][emoji23][emoji1787]
Alafu wanawalisha ndiyo mnapata nguvu ya kwenda kwa choo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Etieeeeee, mafanikio ya Tanzania yanakuuma sn mnuka mavi utadhani unaumia peke yako kumbe ni Wakenya wote [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2399020
Kuna mkunya hapo juu nimemuona ana compare BRT system na reli [emoji23]
 
Nyinyi shindaneni na Burundi


View attachment 2398599
Lazima tumeshapanda,tumeshatekeleza miradi mingi sana kwa kipindi cha kuanzia 2015 to-date
1.Km 342 Tabora-Mpanda done,nadhani unaona ubora wake


Kwa kipindi hicho Serikali ya awamu ya 5 ilikamilisha kujenga barabara kwa kiwango cha lami na baadhi zege jumla 3500KM

Kufufua reli ya mkoloni Dar-Moshi-Arusha 600Km na kutoka Tanga hadi Arusha

Kufufua Reli ya Kati kutoka Dar hadi Isaka 900Km

Kujenga SGR kutoka Dar Hadi Mwanza apa wamekamilisha Dar Dodoma 450Km

Viwanja vya ndege nk.
Nnauhakika kuna nchi nyingi kwa kipindi hicho hakijanusa hata robo ya kazi zilizofanyika Tz
20220606_172519.jpg
20220606_172539.jpg
20220606_172532.jpg
 
Kuna nchi ya kimbwa mbwa hapa huwezi kuikosa katika data za aid za nchi yoyote inayotoa misaada duniani, hii ni US ila UK wakiweka pia hawakosi, U.A.E wakiweka hawakosi, China ndiyo kabisa wanawasaidia kila kitu mpaka visima vya maji ni msaada toka China [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_-1570182225_360x376.jpg


Usisahau kwamba hii ni aid na sio mkopo, so aid wamo na mkopo pia wamo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Statistics zinaonesha bandari ya Mombasa inaongoza kupokea misaada kuliko business cargo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya ni hovyo sana aisee, ukiangalia kila kitu wanafanyiwa kuanzia roads,high rises, railway, estate mpk shirika la ndege sio lao, na hii yote ni kwasababu ya nature ya nchi yao kwamba viongozi wanamiliki kila kitu ndani ya hiyo failed state wakishirikiana na mabeberu, yani wanakula sn kwakweli, hawa nyani weusi wametulia tu hawajui la kufanya maskini ya Mungu.
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Nairobi wanaweza kuwa na barabara next level lakini wakija Dar wanatamani sana mwendokasi.. apo ngoma draw
 
Kuna nchi ya kimbwa mbwa hapa huwezi kuikosa katika data za aid za nchi yoyote inayotoa misaada duniani, hii ni US ila UK wakiweka pia hawakosi, U.A.E wakiweka hawakosi, China ndiyo kabisa wanawasaidia kila kitu mpaka visima vya maji ni msaada toka China [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2399110

Usisahau kwamba hii ni aid na sio mkopo, so aid wamo na mkopo pia wamo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
US wanepeleka hela sehemu wameona kuna faida flani, yaani some value inaweza kua pale, so wanatongoza kwa aid, for their interest first ndio maana giants wako kwa list kama Kenya, South Africa na Nigeria, lakini watu fukara wasio kuwa na faida ya maana hapa Africa wanapitwa tu.., yaani mnajaza choo tu, hamuna ata ya kuwasaidia omba omba wenu wanawakimbia wanakuja Kenya kujitafutia, idiots 😝 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kuna nchi ya kimbwa mbwa hapa huwezi kuikosa katika data za aid za nchi yoyote inayotoa misaada duniani, hii ni US ila UK wakiweka pia hawakosi, U.A.E wakiweka hawakosi, China ndiyo kabisa wanawasaidia kila kitu mpaka visima vya maji ni msaada toka China [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2399110

Usisahau kwamba hii ni aid na sio mkopo, so aid wamo na mkopo pia wamo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Misaada Republic of Kenya
 
US wanepeleka hela sehemu wameona kuna faida flani, yaani some value inaweza kua pale, so wanatongoza kwa aid, for their interest first ndio maana giants wako kwa list kama Kenya, South Africa na Nigeria, lakini watu fukara wasio kuwa na faida ya maana hapa Africa wanapitwa tu.., yaani mnajaza choo tu, hamuna ata ya kuwasaidia omba omba wenu wanawakimbia wanakuja Kenya kujitafutia, idiots [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Msaada anapewa alieomba msaada Acha kiswahili kingi kaka..mbaya zaidi ni misaada ya chakula umbwa ninyi hata kulima hamuwez?
Uache kutumia neno Giant kwenye mambo ya kipuuzi tafadhali
 
Back
Top Bottom